CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

hata huku kwetu wanapita kwenye vibanda vya biashara kuomba kuchangiwa,.....CCM 🚮🚮🚮🙌
 
IMG_7038.jpeg

UTARATIBU ULE ULE WASIO TOA MAJINA YATAENDA TRA KAMA KAWAIDA HATUWEZI KUKOSA MAKOSA KWENYE MA FAILI YAKO
 
hata huku kwetu wanapita kwenye vibanda vya biashara kuomba kuchangiwa,.....CCM 🚮🚮🚮🙌
luka 12🙂
’ 22Lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemkasirikia ndugu yake, lazima ahukumiwe. Anayemdharau ndugu yake atapelekwa mahakamani. Anayemwita ndugu yake: ‘Pumbavu’ atastahili kuingia katika moto wa Jehanamu.
23“Basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe, 24iache sadaka yako mbele ya madhabahu, nenda kwanza ukapatane na ndugu yako, ndipo urudi utoe sadaka yako.
25“Patana na mshtaki wako upesi mkiwa bado njiani kwenda mahakamani. La sivyo, mshtaki wako atakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa askari, nawe utafungwa gerezani. 26Kweli nakuambia, hutatoka humo mpaka umelipa senti ya mwisho.
 
Hayanihusu wakiamua wauze na nchi, Mimi naendelea kutomba.
 
Haya mambo ndo aliyoyakataa JPM Sasa huyo anayechangia kesho akishikwa na madawa ya kulevya atafungwa kweli?
 
Back
Top Bottom