imekaavibaya
Member
- May 12, 2025
- 10
- 3
HlwMay day may day...
HlwMay day may day...
Kama mshana pia umejua kuwa Yupo Mungu,![]()
104K views · 2.7K reactions | UNABII WA TAIFA: TAREHE TATU MUHIMU MWEZI WA NANE - 3/8/2025 - 7/8/2025 - 28/8/2025 VIDEO KAMILI YOUTUBE@prophet.edmoundmystic #unabii #tanzania🇹🇿 #politicsnation #viralvídeos #election2025 #politicalparty | Edmound
UNABII WA TAIFA: TAREHE TATU MUHIMU MWEZI WA NANE - 3/8/2025 - 7/8/2025 - 28/8/2025 VIDEO KAMILI YOUTUBE@prophet.edmoundmystic #unabii #tanzania🇹🇿 #politicsnation #viralvídeos #election2025...www.facebook.com
Tulidanganywa sana tukaambiwa sisi madivisheni foo hatujui kuchakata CODES.Ni porojo tu hapa ..mara dark days mara sijui brother maelekezo ..mara sjui nini bla blah kibao tu ..kila mtu atafute Chaka la kupiga aisaidie familia yake...
Huyu janja janja.britanicca yupo kimkakati kuwafubaza watu humu, kuweni makini nae….
Anategemea taarifa kutoka kwa rafik zake wa TISS walio kwenye ranks ndogo, wasioweza fanya maamuzi yoyote.
Wanamdanganya sanaa
Mbele kuna Giza neneMambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Alisema japo litachelewa!lakini July july jambo lao litatimia!Mbele kuna Giza nene
Naamini kuna mengi tusioyajua na yaliyo jificha , muda unazidi kuyoyomaAlisema japo litachelewa!lakini July july jambo lao litatimia!
Sasa hatujui Kwa press ya jana imekamilishaje jambo lile!!?
Pole sana mkuu, najua hukutegemea meza kupinduliwa kimafia kwa namna mipango ilivyokuwa imesukwa.Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
kuna bomu la mwisho litatumwa alafu watasambaratika na hawataaminika tena, bomu lenyewe ni lile la chatlleMkuu sasa Polepole atafanya jambo gani la kuwazuia hawa mabwana ilihali na yeye kajificha Mashariki ya mbali?
Mpaka sasa sijaona impact ya Polepole baada ya ile Press na hata hiyo press ya July 31 sidhani kama kutakua na jipya zaidi ya Yeye kuvuliwa uanachama na hadhi ya uBalozi.
Itapendeza zaidi na zaidikuna bomu la mwisho litatumwa alafu watasambaratika na hawataaminika tena, bomu lenyewe ni lile la chatlle
Hiyo ya Kigamboni sababu ni wazi.Maana Hersi ana nasaba na GSM kibiashara.Asingeweza kupitishwa wakati Makonda bado ana ushawishiMambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Fisiemu Sasa ni Chama ya mzeiya wa kutanasamu
Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!