KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,306
- 5,767
Mnawafanya watanzania kama empty set..jambo lenu jambo lenu..tutolee hapa utahira
Mkuu kama huyo uliye mtaja katumwa na Boss wake kwenda kusimamia, ?Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Yaani baada ya maramli yako yooooooote umeishia kulaumu na kukata tamaaaaaaaa!???Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Mkuu July ndio imeisha hivyoMambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
HahahahaMzee wa ramli mikeka yako yote imeshachanika.
Ccm juu juu zaidi.Yaani baada ya maramli yako yooooooote umeishia kulaumu na kukata tamaaaaaaaa!???
Kweli CCM babalao kama alivyoimba Diamond Plutnumz!!!
Zitamtoa roho huyu jamaa......Twende na CCM maana hakuna namnaRamli zitawaua!
Hafrey kesho ataongea kutokea Kibaha kwa Matia ya mamtoniMambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
🤔🤔💭Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Mchezo umeisha, subirini 2030,na kwenyewe mtapigwa mnoMambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Mchezo umeisha, subirini 2030,na kwenyewe mtapigwa mno
Mkuu unayumba sana sikuhizi.Mambo ya ajabu kabosa yanaendelea. Yaani Bashite na yeye amegeuka kuwa Godfather ndani ya CCM kiasi cha kutuma na kusimamia majina ya watu wake mbalimbali kupitishwa ikiwemo Kigamboni, Kawe, Nyamagana na kwingineko...serious kabisa hawa wazee wamezidiwa na Bashite na mfumo unaangalia na kukubali kumkabidhi power hiyo
Ngoja tuone Polepole plz Kamilisha suala letu la July 2025
Britanicca!!
Wa kuishusha CCM bado hajawepo na mbaya zaidi wanaojaribu wanapambana na watu na CCM inaendelea kubaki imara!Ccm juu juu zaidi.
30.07.2025Mkuu July ndio imeisha hivyo