residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,029
- 9,623
In short,Watanzania wengi twapenda kubebwa (mteremko/mtelezo/kitonga) na tu wavivu sana.SABABU KUBWA hata kama watu haiwaisemi ni:
~ Chuki, Visasi, Rushwa na Kukomoana.
- Yaani wanatoa Rushwa ya pesa na vyeo kwa kila anaewakosoa ili akae kimya au awashambulie wapinzani wao.
Kumbuka bila kuwa pesa, vyeo na nafasi yoyote hakuna atakayehamia ( ndio maana Marekani hakuna anayejikomba kwa Rais kwa sababu kila mtu anakula kwa jasho lake ).
[ Tangu tuingie mfumo wa vyama vingi CCM imepoteza kabisa mwelekeo ( inachokifanya ni kumtegemea Rais | Dola | ) au sometimes uwezo binafsi wa mtawala ].
Kila kinachofanywa sasa nchi hii na watawala, FOCUS yake ni KUDHIBITI WAKOSOAJI na KUWAKOMOA.
Ndio hata bungeni sasa wakosoaji ndio wanaojadiliwa.
Hata watawala wastaafu hawawezi kumkosoa aliyepo kwasababu, lengo la tawala zao inaonekana ni kubadilishana tu ZAMU ZA KULA.
Kwahiyo kama wakati wako wa kula wenzio hawakukupigia kelele na wewe unatakiwa ukae kimya.
Sasa hivi Tanzania imekuwa kama Burundi ( Hakuna cha kujivunia miaka zaidi 60 ya uhuru ).
A complete definition of a FAILED STATE.