CCM ina wanachama zaidi ya milioni 15 lakini bado inachukua wapinzani na kuwapa ubunge, shida ni nini?

SABABU KUBWA hata kama watu haiwaisemi ni:

~ Chuki, Visasi, Rushwa na Kukomoana.

- Yaani wanatoa Rushwa ya pesa na vyeo kwa kila anaewakosoa ili akae kimya au awashambulie wapinzani wao.

Kumbuka bila kuwa pesa, vyeo na nafasi yoyote hakuna atakayehamia ( ndio maana Marekani hakuna anayejikomba kwa Rais kwa sababu kila mtu anakula kwa jasho lake ).

[ Tangu tuingie mfumo wa vyama vingi CCM imepoteza kabisa mwelekeo ( inachokifanya ni kumtegemea Rais | Dola | ) au sometimes uwezo binafsi wa mtawala ].

Kila kinachofanywa sasa nchi hii na watawala, FOCUS yake ni KUDHIBITI WAKOSOAJI na KUWAKOMOA.

Ndio hata bungeni sasa wakosoaji ndio wanaojadiliwa.

Hata watawala wastaafu hawawezi kumkosoa aliyepo kwasababu, lengo la tawala zao inaonekana ni kubadilishana tu ZAMU ZA KULA.

Kwahiyo kama wakati wako wa kula wenzio hawakukupigia kelele na wewe unatakiwa ukae kimya.

Sasa hivi Tanzania imekuwa kama Burundi ( Hakuna cha kujivunia miaka zaidi 60 ya uhuru ).

A complete definition of a FAILED STATE.
In short,Watanzania wengi twapenda kubebwa (mteremko/mtelezo/kitonga) na tu wavivu sana.
 
Hivi ni vita lazima tuteke majeshi ya adui na kuyaunganisha kwetu kuhusu utu na ubinadamu hilo ni tatizo la nchi sio CCM pekee nchi hii imejaa mijitu ya hovyo sana na hii ndiyo sababu ya kuwa na viongozi wa ajabu sana
Yaani vitani unamteka adui halafu unamuweka front line then unategemea kushinda vita? hebu jaribu kufikiria hili jibu lako.
 
Hili swali nimemuuliza kada mkongwe mzee Mgaya lakini majibu aliyonipa yamenitatiza kidogo, amedai huenda CCM kuna Binadamu wengi lakini " watu " ni wachache. Kwa kunifafanulia amesema binadamu huzaliwa lakini mtu hutengenezwa.

Mdau wa siasa wewe unalionaje hili la wapinzani kuhamia CCM na moja kwa moja kupewa fursa ya kugombea nafasi za uongozi?

Maendeleo hayana vyama!
Pamoja na mamilioni ya wanachama Uchaguzi inapata kura milioni 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swali nimemuuliza kada mkongwe mzee Mgaya lakini majibu aliyonipa yamenitatiza kidogo, amedai huenda CCM kuna Binadamu wengi lakini " watu " ni wachache. Kwa kunifafanulia amesema binadamu huzaliwa lakini mtu hutengenezwa.

Mdau wa siasa wewe unalionaje hili la wapinzani kuhamia CCM na moja kwa moja kupewa fursa ya kugombea nafasi za uongozi?

Maendeleo hayana vyama!
CC: Bia Yetu; Magonjwa Mtambuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wapi mbunge wa upinzani kapewa ubunge akiwa huko?

Ni lazima uwe sehemu ya hao wanachama milion 15.

Hivi utapata ubunge ukiwa kama mwanachama wa ccm.

Labda tubadirishe katiba walau ukae miaka 3 mfululizo kama mwanachama

Sent using iphone pro max
 
Back
Top Bottom