wapinzani wameungana wakaunda UKAWA.
CCM ni vipande-vipande, sasa wachumia tumbo wameunda
Team Lowasa
Team Membe
Team Pinda
Team Wassira
Team Makamba
Team Nyalandu
Team Ngeleja
N.K
Je, viongozi wa chama kipi kati ya CCM au CDM ndiyo wachumia tumbo??[/QUOTE]
= Chadema Saccos.
Mleta mada una angalizo la msingi. Ila naona walakini wa angalizo lako. Ni nani kwa mfano ambaye ana wafuasi wengi akifukuzwa ataondoka nao? Hao wanachama walifuata mtu ama chama? Kwa maneno mengine huyo kiongozi akifariki, uanachama wao utakoma? kwa hiyo wasipochukua nchi wataendelea kuwa naye hata kama hafuati taratibu za chama mpaka hapo watakapochukua nchi? Halafu unasema wakiondoka wataondoka na watu, hilo sina ubishi nalo, je hiyo cdm haiwezi kupata wanachama wapya bali hao ilionao tu sasa? Hizi mada zinafanya watu wawe na shaka hasa inapotekea watu kutoa ushauri hapa jukwaani na sio kwenye vikao. Huoni kwamba hiyo hofu yako itachangia kupata viongozi dhaifu kama tunaowaona sasa kwa watu kushindwa kuchukuliana hatua kisa tu ni mwenzo hata kwa makosa yaliyo dhahiri. Kumbuka kila uamuzi una faida na hasara zake. Inawezekana cdm wamepima faida na hasara wameona watapata faida zaidi kuliko hasara.
Ninachowashangaa CHADEMA ni hili la kila siku kuomba ZITTO aombe msamaha, ili iweje kama siyo kuogopa kuondoka kwake kutakuwa na madhara makubwa kwa CHAMA. Zitto naye alivyosmart anawasikilizia tu wanabwabwaja.
tofautisha mtu akifa na akiwa hai, mkumbuke kunaushawishi alio nao unaweza kuleta madhara kwa chama na si lazima kumuweka kua kiongozi anabaki km mwanachama wa kawaida. Mara nyingi watu tunatoa kashifa bila kuwa na vipimo navyo, matusi yamekua mengi mpaka inatia hofu, ninachosema ni kukaa meza ya mazungumzo, tuona nchi nyingi mwanachama mwenye ushawishi akihama anaondoka na watu wengi, ukisema watu wanafata chama au mtu? Ukweli watu wanafata mtu, jiulize kwanini watu wamechoka na CCM, jibu ni moja watu wao ni wachafu kwa matendo, wezi, mafisadi etc. Kwahiyo watu ndo wanakifanya chama kiwe hai, ndo maana nasema meza ya mazungumzo ni muhimu sana badala ya kukimbilia kwenye media. Kwa mfano mzuri MREMA walimfukuza CCM kuwa ni hafai lakini kwa mtaji aliokua nao kwa watu walimpokea na alitikisa nchi, kwa hiyo tusidharau vitu vidogo kuwa havina madhara ni hatari kwa chama na malengo yake!
Tatizo la Chadema wamefanya chama kuwa milki ya watu wawili.
Zitto hana ttz ila unafiki wa lisu ndo shida maana anamuhujumu zitto kisiasa maana anamuogopa lkn haitamsaidia maana hawezi kupewa/kupata madaraka makubwa ktk nchi hii kutokana na halimashauri ya kichwa chake kuwa mbovu kabisa.
Kwa mwenye akili timamu, wa kuomba msamaha ni CHADEMA kumuomba ZITTO na siyo ZITTO kuomba msamaha.
Wanabodi,
Nikiwa hapa Dom, nimebahatika kukutana baadhi ya wabunge wapya wa CCM na wa kambi ya upinzani, kujaribu kufahamiana, sio siri, baadhi yao hawana hata substance ya ni nini kilichowafanya washinde, na kwa viti maalum ndio usiseme kabisa!, wengi wao kama si makapi tuu, basi ni vidumu, basi ni kwa ajili ya kutoa huduma na kibinaadamu!, na hili litathibitishwa na michango yao kikao cha Januari.
Nilipoongea na baadhi ya wale makamanda waliokata magogo kanda ya ziwa, nimewaona ni wa kawaida tuu, hivyo nimefikia jibu moja la uhakika, kuwa CCM katika baadhi ya maeneo, imechokwa mpaka basi!, upinzani hata ungesimamisha jiwe, lingechaguliwa!, nadhani ni moja ya sababu kuu iliyopelekea wengi hawakujitokeza waliona kujitokeza kupiga kura ni kujisumbua tuu!.
Nasisitiza CCM imechokwa, na ule ushindi wa kishindo wa toka Asilimia 80% niliyohakikishiwa na mwana CCM mwandamizi mpaka asilimia 60% ni uthibitisho tosha, Watanzania wameichoka CCM ila pia hawakuwachagua wapinzania kwa wingi zaidi, kwa sababu wapinzani hawajaonyesha wako tayari kukamata dola.
Najua kwa dhati, japo JK anafurahia ushindi kwa furaha ya machoni, lazima atakuwa na huzuni moyoni kwa kukataliwa na hiyo asilimia 20% kukataliwa ni kukataliwa tuu, kunauma. Hivyo CCM lazima watakaa na kujiuliza kulikoni, huenda wakajipanga upya na kuja kwa mbinu mpya, ila kwa vile CCM imechokwa, hata ijipange upya vipi, safari ya kwaheri ndio imeanza, there is nothing to stop it from failing down!.
Dawa pekee ya kuitibu CCM, ni kuirevamp CCM completely, task nambari moja ni Makamba should go first with his old guards team. Msisubiri mpaka uchaguzi mkuu wa chama chenu, miaka miwili ijayo (2012), itakuwa too late. If you are to du anything, doi it now and fast!. Leteni fresh blood kina January type, Kippi, Nape type and the like ambao wanaweza siasa za kisasa za dot com type.
Hakuna ubishi, Chadema imenyanyuka, toka wabunge 5 mpaka 22 wa kuchaguliwa tena majimbo ya haja, huku sio kukua bali ni kupaa, tatizo kubwa la Chadema, bado hawajipanga.
Kichama, wanachadema mkubali msikubali, chama chenu japo kipo juu, lakini bado hamjajipanga kwa sura ya kitaifa.
Kwa vile CCM imekaa mkao wa kifo, hii ndio opportunity yenu kujipanga muwe na sura ya kitaifa, Watanzania wawamini wawakabidhi nchi mwaka 2015.
Kwanza Freeman Mbowe, ajiuzulu uenyekiti, ampishe Dr. Slaa kwenye Usukani, Katibu Mkuu mpeni Zitto, hii itaifuta ile dhana ya nepotisim kwenye chama chenu, ili Walioichoka CCM wawafungulie mikono kwa kujitokeza kuwapigia kura 2015.
Kitendo cha kuihodhi kambi ya upinzani Bungeni, huu ni udhaifu mkubwa ambao hautawafikisha mbali. Pamoja na kanuni za bunge kuruhusu Chadema kuunda kambi rasmi ya upinzani, Chadema peke yenu hamuwezi!.
Kama CCM iko ICU na Chadema haijajipanga, spika ndio huyo mama ma over confidence na over reaction, 2015 tutegemee nini?.
Angalizo: Pasco wa Jamii Forums ni political commentator ambaye yuko objective, bila kuegemea chama chochote, upande wowote na hufanya kazi kwa wote, ila ni muumini wa demokrasia ya kweli ndani ya bunge for the balance of power, hivyo nashangilia sana kambi ya upinzani kuingiza vichwa 100 bungeni, ni matumaini yangu, 2015 kazi itakamilishwa!
nimejaribu kufanya tathimini ndogo kuelekea uchaguzi mkuu na kugundua kwamba CHADEMA ina kila sababu ya kupita kwa kishindo katika chaguzi zote kwa sababu,NI CHAMA MAKINI WATU MAKINI NA WASOMI KAMA LISSU,BAREGU. KINA UONGOZI MAKINI WA MBOWE NA SILAA,CHAMA CHENYE YA KWELI YA KUMKOMBOA MTANZANIA, NI CHAMA KISICHO NA CHEMBE YA UFISADI NA RUSHWA, HAKINA UKABILA WALA UDINI.mwaka huu utakua ni zamu ya CHADEMA
Iweke vizuri zaidi sema ni zamu ya UKAWA (chadema ikiwemo)
sema ukawanimejaribu kufanya tathimini ndogo kuelekea uchaguzi mkuu na kugundua kwamba CHADEMA ina kila sababu ya kupita kwa kishindo katika chaguzi zote kwa sababu,NI CHAMA MAKINI WATU MAKINI NA WASOMI KAMA LISSU,BAREGU. KINA UONGOZI MAKINI WA MBOWE NA SILAA,CHAMA CHENYE YA KWELI YA KUMKOMBOA MTANZANIA, NI CHAMA KISICHO NA CHEMBE YA UFISADI NA RUSHWA, HAKINA UKABILA WALA UDINI.mwaka huu utakua ni zamu ya CHADEMA
Amemsikiliza nani?
Kuna kauli yoyote kutoka CHADEMA kwamba zitto aombe msamaha
Au mnachukulia maneno ya JF ni kauli za chama
Acheni Upoyoyo nyie ma CCM