fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,542
Unazijuwa b10 au unazisikiaga tu wewe mama!Lowasa alimuonga Mh mbowe ths 10b, sasa kuna kipi kipya?
Unazijuwa b10 au unazisikiaga tu wewe mama!Lowasa alimuonga Mh mbowe ths 10b, sasa kuna kipi kipya?
Tanzania ya viwanda Inawezekana kwani ni sera ya marudio tu japo haikuwahi kutumika kama slogan ya taifa na aliyeitekeleza sera hii kwa kiasi kikubwa ni Nyerere kwani ametuachia viwanda vingi vikubwa sana vilivyoongoza kwa ukubwa afrika kwa mfano spm mgololo Iringa ni kiwanda kikubwa afrika nzima na vingine vingi lkn vikafa kwa sab mbali mbali za kizembe wizi ubadhirifu ufisadi rushwa upendeleo siasa n.k,kwa kuangalia makosa ya nyuma na kujifunza Kenya ambao recently wameingia kwenye uchumi wa kati,tunaweza kwa sababu tuna resources zote muhimu kama watu, Ardhi,vyanzo vya umeme japo havijatumika vizuri na miundo mbinu ya kuridhisha inatakiwa dhamira tu ya kweli, na hii vita ya ufisadi na rushwa aliyoitangaza kwa nguvu mpya ina sweep the way. This is the Superb president.Sawa mkuu nimesikia hoja zako, wangalau sasa umejitahidi lakini sifa zilizopo haziendani na ulichoongea hapa. Sasa nje ya mada, wewe ni kada wa ccm na mwenyekiti wako ambayo ni rais wetu ana ajenda ya Tanzania ya viwanda. Hapa jukwaaani kuna uzi unahoji Tanzania ya viwanda ni nini kifanyike ili kufikia huko. Nimejaribu kuangalia sijaona wazo lolote toka kwa vijana wa ccm. Ni vyema mkaenda kule maana ni sera ya serekali yenu mkaeleze njia ya kufikia kule. Ni jambo la aibu nyie kushindwa kuchangia mada kama ile, na badala yake mnakesha kwenye hizi post tu. Mchango wako unahitajika kule.
Tanzania ya viwanda Inawezekana kwani ni sera ya marudio tu japo haikuwahi kutumika kama slogan ya taifa na aliyeitekeleza sera hii kwa kiasi kikubwa ni Nyerere kwani ametuachia viwanda vingi vikubwa sana vilivyoongoza kwa ukubwa afrika kwa mfano spm mgololo Iringa ni kiwanda kikubwa afrika nzima na vingine vingi lkn vikafa kwa sab mbali mbali za kizembe wizi ubadhirifu ufisadi rushwa upendeleo siasa n.k,kwa kuangalia makosa ya nyuma na kujifunza Kenya ambao recently wameingia kwenye uchumi wa kati,tunaweza kwa sababu tuna resources zote muhimu kama watu, Ardhi,vyanzo vya umeme japo havijatumika vizuri na miundo mbinu ya kuridhisha inatakiwa dhamira tu ya kweli, na hii vita ya ufisadi na rushwa aliyoitangaza kwa nguvu mpya ina sweep the way. This is the Superb president.
Sina ushabiki na wala sio mwanaccm bali ni mfuatiliaji wa siasa ya upande wowote na kuichambua kadri niwezavyo nimekuwa nawaponda ccm kwa muda mrefu kutokana na ufisadi na kuleana kwao kuna wabunge wa wapinzani nawapenda kwa uwezo wao binafsi hali kadhalika ninampenda magufuli kutokana na nia yake ya kuwageuka wanaccm wenzake majambazi lkn nimepiga kampeni mtaani kwetu ya nyumba kwa nyumba 2015 ya kuwashawishi watu wasiwape kura wagombea wa udiwani na ubunge wa ccm lkn wampe magufuli kuliko lowassa ambaye ni fisadi aliyethibitishwa na bunge, kampeni yangu ilifanikiwa mpk leo nachukiwa na diwani aliyeshindwa kutoka ccm na amenitamkia,eneo ninaloishi diwani na mbunge ni kutoka upinzani na mama yangu mzazi ni mwanachadema mkereketwa mwenyewe huwa nampeleka kwenye mikutano na huwa nahudhuria, Kwahiyo mimi sio kada wa ccm you rather call me kada wa maendeleo.Sawa, ili tusiharibu mudhui ya uzi huu nenda kwenye ule uzi useme kwa sasa tunafikaje huko. Hapa ulichoongea ni historia, kwa sasa kaseme tunafikaje kwenye Tanzania ya viwanda na wala kusema tuna superb president peke yake hakutoshi. Nenda kwenye huo uzi utoe maelezo yako ya kina. Kule ni facts tu na sio ushabiki.
Sina ushabiki na wala sio mwanaccm bali ni mfuatiliaji wa siasa ya upande wowote na kuichambua kadri niwezavyo nimekuwa nawaponda ccm kwa muda mrefu kutokana na ufisadi na kuleana kwao kuna wabunge wa wapinzani nawapenda kwa uwezo wao binafsi hali kadhalika ninampenda magufuli kutokana na nia yake ya kuwageuka wanaccm wenzake majambazi lkn nimepiga kampeni mtaani kwetu ya nyumba kwa nyumba 2015 ya kuwashawishi watu wasiwape kura wagombea wa udiwani na ubunge wa ccm lkn wampe magufuli kuliko lowassa ambaye ni fisadi aliyethibitishwa na bunge, kampeni yangu ilifanikiwa mpk leo nachukiwa na diwani aliyeshindwa kutoka ccm na amenitamkia,eneo ninaloishi diwani na mbunge ni kutoka upinzani na mama yangu mzazi ni mwanachadema mkereketwa mwenyewe huwa nampeleka kwenye mikutano na huwa nahudhuria, Kwahiyo mimi sio kada wa ccm you rather call me kada wa maendeleo.
Thats why hatutakiwi kuwapa nchi wapinzani, Noy yet.Huu ni zaidi ya utoto na ulemavu wa kukosa tafakuri... Haya yanayoendelea nchini nikiri wazi kuwa pamoja na kwamba kuna matukio ya kutisha ya kuwashambulia wapinzani kwa silaha za moto na silaha nyingine zenye kujeruhi na kusababisha ulemavu....
Lakini hili la kutumia ushawishi wa ahadi za mali pesa vyeo na ulinzi kwenye bishana ili watu warejee ccm ni uhuni na michezo ya kitoto kabisa
Tusijaribu kuwaiga Rwanda.... Ukubwa wa ile nchi ni sawa na mkoa mmoja wa Tanzania... Tusiige zile siasa kuna kuna mvutano wa makabila mawili... Siasa za pale zinahusika sana na ukabila
Tumeshashuhudia yaliyotokea kwenye uchaguzi wa madiwani hivi karibuni, watu wameumizwa sana.. Watu wamejeruhiwa sana, watu wamebambikiwa kesi sana... Hii ni ishara gani kwenye uchaguzi 2020?(kama utakuwepo lakini) tofauti ya hoja ndio tuumizane kiasi hiki? Vyombo vyetu vya usalama na tume ya uchaguzi vimevaa miwani ya mbao
Kama hii haitoshi pamoja na kufanya yale yote kwenye uchaguzi ule sasa ni mwendo wa kununua wapinzani... Naamini kuna kundi kubwa sana ndani ya ccm wanashangazwa na haya lakini hawana pa kusemea.. Hawa wanaonunuliwa wanaenda kutupwa huko... Ni uchoyo na ulafi wa aina yake... Ni sawa na kuwa na makabati ya nguo lakini bado unataka na za jirani....
Hawa wanaonunuliwa hawaendi kuonyesha vipawa vyao huko, wanaenda kuminywa na kufichwa ili mradi tu kukomoa kaliba fulani ya watu...
Hivi kipaumbele ni kuua upinzani? Ingekuwa mashindano yako hivyo kusingekuwa na kushindana basi... Tunapoteza muda mwingi kwenye siasa za kipuuzi kabisa.. Mwisho wa siku morali wa kujenga taifa unashuka kabisa.... ccm halisi wanabaki na kinyongo, ccm makinikia wanakuwa na hofu na kutojiamini.... Mwendo mpya wa kuwindana kusimangana na kuchomeana unaaza.... Ni aina gani hii ya siasa mnafanya?
Mtanunua wangapi? Mtawabana wangapi ili waombe Po na kujiunga nanyi? Kumbukeni kuna kura million 6 +, tena hizi mmezitamka nyie... Uhalisia ni kwamba zipo zaidi ya hapo tena kwa mbali sana....
Tunawakemea kwa sauti ya uzalendo hamjengi bali mnabomoa, hamtengenezi bali mnaharibu.. Hamuunganishi bali mnatenaganisha.... Huu ni uwendawazimu na kukosa tafakuri... Hivi mmesahau kuwa WAKATI SI MILELE?!?!??
Mwanaume mpumbavu wa Mwisho ndio atakubali kununuliwa, na hatuwezi kuwapa nchi watu cheap namna hii, kama wananululiwa na Kina Bashite unadhani tukiwapa nchi wakakutana na wale wazungu wa makinikia atatoka mtu hapo??Hivi, hii dhana ya wapinzani kununuliwa (viongozi na wanachama wa upinzani na sio wa CCM) inatokana na ile video ya akina Lema na Nasari?
Na ni kwa nini mnataka watu waamini katika sinema (Kufikirika)? Manataka kutuaminisha kwamba kitendo cha watu kuhama kutoka chama kimoja cha siasa na kwenda kwenye chama kingine (tawala au pinzani) huwa wamenunuliwa? Je, mmeisha jua bei iliyoko mnadani (CCM na CHADEMA)?
Endeleeni kuweweseka na siku mkizinduka mtakuta mmeendelea kubaki wapinzani dhaifu!
Acheni kulalamika! Tafuteni dawa!
Kutokua mzalendo ni kusema ukweli mabaya yote wanayofanya watawala ,so we mshana jr sio mzalendo kabisa.ila ngoja ni wai kuchukua nyavu maana muda umefika wa kwenda kuvua .Ila naskia Paka wetu siku hizi hukamata panya kimya kimya

Kwani mwenyekiti msukuma ??si mzinza...vikabila vidogo vinakuwaga vya wahamiaji kama wazanakiHata hapa kwetu kuna ma kabila makubwa mawili yaani ccm na chadema ukipenda mwangaluka na shimboni shafo. CCM hoyeeeee
Mbona jina lako linaleta kichefuchefu sana, aliye ku Mark hilo jina medula oblangata yake haikuwa sawa, Mawazo yako na jina lako yanaendana kwani hata uandikacho ni takatakaNani aliyekuumiza?? Mbona vijana mnapenda sana kuyakuza mambo na kuyafanya kishabiki??? Acheni siasa majitaka
None senseSina ushabiki na wala sio mwanaccm bali ni mfuatiliaji wa siasa ya upande wowote na kuichambua kadri niwezavyo nimekuwa nawaponda ccm kwa muda mrefu kutokana na ufisadi na kuleana kwao kuna wabunge wa wapinzani nawapenda kwa uwezo wao binafsi hali kadhalika ninampenda magufuli kutokana na nia yake ya kuwageuka wanaccm wenzake majambazi lkn nimepiga kampeni mtaani kwetu ya nyumba kwa nyumba 2015 ya kuwashawishi watu wasiwape kura wagombea wa udiwani na ubunge wa ccm lkn wampe magufuli kuliko lowassa ambaye ni fisadi aliyethibitishwa na bunge, kampeni yangu ilifanikiwa mpk leo nachukiwa na diwani aliyeshindwa kutoka ccm na amenitamkia,eneo ninaloishi diwani na mbunge ni kutoka upinzani na mama yangu mzazi ni mwanachadema mkereketwa mwenyewe huwa nampeleka kwenye mikutano na huwa nahudhuria, Kwahiyo mimi sio kada wa ccm you rather call me kada wa maendeleo.