CCM imechanganyikiwa?

CCM imechanganyikiwa?

Unataka iishe kabisa? Inawezekana lkn ni ngumu sana kwa sab mpk sasa hakuna nchi iliyoweza kumaliza rushwa duniani tunapishana viwango tu. Wewe subiri mnyeti akamatwe kwani ndio kipimo chako pekee cha kupambana na rushwa nchini.

Mkuu ndio maana nakuambia hakuna mapambano ya rushwa kwama tunavyoaminishwa kwani hayo mapambano ya hivyo yako miaka yote. Na kwakuwa umekiri haiwezi kuisha kabisa basi hao wanaokwenda kumuunga mkono rais kisa anapambana na rushwa ni haki yetu kusema wananunuliwa.
 
Mapambano yanazidiana viwango lkn wanaohama sio kwa kupambana na rushwa pekee bali ufisadi na vitendo vingine vinavyokwamisha maendeleo lkn wameona waliokuwa wanapigia kelele ufisadi sasa wamekumbatia mafisadi na kuwapa vyeo,wakae huko wafanye nini tena?
 
Acha uzushi,utakugharimu
Wewe ni bonge la mpuuzi... Na utakuwa mpuuzi mpaka siku unaingia kaburini... Halafu kila utakapoamka asubuhi wakati ukipiga mswaki usisahau hili.. Kwamba wewe ni boonge la mpuuzi. . .., ngurumbili kiazi mbatata wewe... Pasuka sasa
 
Chikundi nikuambie kitu umeishiwa hoja na utetezi wako toka mwanzo umeshindwa kunishawishi kwa kutoa mifano ya kupambana na rushwa kwa vitendo zaidi ya maigizo na propaganda. Huko ulikokwenda kwenye mafisadi ndio nimekuona umechoka kihoja, kuna mahakama ya mafisadi, ila aliyetangaza kwamba mahakama ya mafisadi imekosa wateja ni waziri Mwakyembe. Na hao wanaohamia leo ccm ni kichekesho kingine maana hata serekali imeshatangaza hakuna mafisadi. Sasa kama hakuna mafisadi hao wanaohama leo wanaenda kuunga mkono vita gani tena ya ufisadi?

Halafu nikusaidie kitu, wewe ni kada wa ccm, vita vya ufisadi imewashinda maana hakuna msafi kuanzia anayehubiri kupambana na mafisadi mpaka wanaomzunguka. Ni bora mngejikita kwenye mijadala ya Tanzania ya viwanda na jinsi ya kuifikia. Kwenye hii mijadala ya rushwa na ufisadi mnapiga siasa za kichovu tu na kujiaibisha. Usipoteze muda wako kupaka rangi upepo.
 
Acha uzushi utakugharimu,ukinitukana unadhihirisha upumbavu wako.
 
nimejikuta nacheka.sana utamfanya askip mswaki kisa asijiite mpumbavu
 
Lowasa alimuonga Mh mbowe ths 10b, sasa kuna kipi kipya?
maxresdefault.jpg
 
Acha uzushi utakugharimu,ukinitukana unadhihirisha upumbavu wako.
Narudia tena WEWE NI BONGE LA MPUUZI... na kila asubuhi ukipiga mswaki lifanye hili kama sala kwako... Umenielewa!?
 
Huna hoja wewe, nchi iuzwe mara ngapi? Kuna mikataba 16 aliingia JK na wachina muda mfupi kabla ya kutoka madarakani. Unajua mikataba ile ilisema nini?

JPM anawatoa kamasi
 
Chikundi nikuambie kitu umeishiwa hoja na utetezi wako toka mwanzo umeshindwa kunishawishi kwa kutoa mifano ya kupambana na rushwa kwa vitendo zaidi ya maigizo na propaganda. Huko ulikokwenda kwenye mafisadi ndio nimekuona umechoka kihoja, kuna mahakama ya mafisadi, ila aliyetangaza kwamba mahakama ya mafisadi imekosa wateja ni waziri Mwakyembe. Na hao wanaohamia leo ccm ni kichekesho kingine maana hata serekali imeshatangaza hakuna mafisadi. Sasa kama hakuna mafisadi hao wanaohama leo wanaenda kuunga mkono vita gani tena ya ufisadi?

Halafu nikusaidie kitu, wewe ni kada wa ccm, vita vya ufisadi imewashinda maana hakuna msafi kuanzia anayehubiri kupambana na mafisadi mpaka wanaomzunguka. Ni bora mngejikita kwenye mijadala ya Tanzania ya viwanda na jinsi ya kuifikia. Kwenye hii mijadala ya rushwa na ufisadi mnapiga siasa za kichovu tu na kujiaibisha. Usipoteze muda wako kupaka rangi upepo.
Ni kweli ccm wote ni mafisadi kwa muda mrefu lkn wanarepent kwa vitendo taratibu umeuona akina lowassa japo ni scape goat, wengi wako mahakamani km akina Seth n.k.

Mahakama ya mafisadi haina kesi right now kwa sab mfumo wa kesi hizi zinaanzia chini mpk ushahidi ukamilike zinafikishwa mahakamani kwa mfano mzee kitilya ataenda huko, wa nida ataenda, Seth ataenda huko na wengine wengi kesi zipo kwenye mahakama za wilaya, mahakama ya mafisadi ni mahakama kuu haianzi na kesi bali inamalizia lkn imewekewa kiwango cha pesa zitakazohusika na ufisadi husika ni kuanzia 1B na kuendelea hivyo kesi za ufisadi zenye kiwango cha chini ya hapo ziko nyingi sana mahakamani hii imesababisha nidhamu maofisini kurudi na hili liko wazi kwa mtanzania yeyote anayehudumiwa na ofisi za serikali hali imepelekea mataifa ya nje kuisifia Tanzania kwa hatua hii ya upambanaji kuanzia tumbua tumbua mpk kukamatwa na kushitakiwa baadhi ya wafanyakazi wake kwa jinsi ccm ilivyooza kwa muda mrefu hatua inayoendelea sasa ni remarkable achievement. Hii ni serikali yenye dira ya kueleweka na ya vitendo kuliko serikali zote zilizopita imevunja rekodi nyingi za ukusanyaji wa mapato kuanzia kodi mpk madeni ya wanafunzi wa vyuo vya juu.
 
Naona tafsiri yakuwa mzalendo siku hizi ni kuishabikia ccm hata kwenye mambo ya kipuuzi kabisa
Kutokua mzalendo ni kusema ukweli mabaya yote wanayofanya watawala ,so we mshana jr sio mzalendo kabisa.ila ngoja ni wai kuchukua nyavu maana muda umefika wa kwenda kuvua .Ila naskia Paka wetu siku hizi hukamata panya kimya kimya
 
Ni kweli ccm wote ni mafisadi kwa muda mrefu lkn wanarepent kwa vitendo taratibu umeuona akina lowassa japo ni scape goat, wengi wako mahakamani km akina Seth n.k.

Mahakama ya mafisadi haina kesi right now kwa sab mfumo wa kesi hizi zinaanzia chini mpk ushahidi ukamilike zinafikishwa mahakamani kwa mfano mzee kitilya ataenda huko, wa nida ataenda, Seth ataenda huko na wengine wengi kesi zipo kwenye mahakama za wilaya, mahakama ya mafisadi ni mahakama kuu haianzi na kesi bali inamalizia lkn imewekewa kiwango cha pesa zitakazohusika na ufisadi husika ni kuanzia 1B na kuendelea hivyo kesi za ufisadi zenye kiwango cha chini ya hapo ziko nyingi sana mahakamani hii imesababisha nidhamu maofisini kurudi na hili liko wazi kwa mtanzania yeyote anayehudumiwa na ofisi za serikali hali imepelekea mataifa ya nje kuisifia Tanzania kwa hatua hii ya upambanaji kuanzia tumbua tumbua mpk kukamatwa na kushitakiwa baadhi ya wafanyakazi wake kwa jinsi ccm ilivyooza kwa muda mrefu hatua inayoendelea sasa ni remarkable achievement. Hii ni serikali yenye dira ya kueleweka na ya vitendo kuliko serikali zote zilizopita imevunja rekodi nyingi za ukusanyaji wa mapato kuanzia kodi mpk madeni ya wanafunzi wa vyuo vya juu.

Sawa mkuu nimesikia hoja zako, wangalau sasa umejitahidi lakini sifa zilizopo haziendani na ulichoongea hapa. Sasa nje ya mada, wewe ni kada wa ccm na mwenyekiti wako ambayo ni rais wetu ana ajenda ya Tanzania ya viwanda. Hapa jukwaaani kuna uzi unahoji Tanzania ya viwanda ni nini kifanyike ili kufikia huko. Nimejaribu kuangalia sijaona wazo lolote toka kwa vijana wa ccm. Ni vyema mkaenda kule maana ni sera ya serekali yenu mkaeleze njia ya kufikia kule. Ni jambo la aibu nyie kushindwa kuchangia mada kama ile, na badala yake mnakesha kwenye hizi post tu. Mchango wako unahitajika kule.
 
Back
Top Bottom