nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,929
Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.
Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.
Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?