Michango ipo sana,,tena sana ,,,
kila siku ya MUNGU lazima mtoto umpe 800 shilling wanasema ya kula chakula mchana,,,
Kama mtoto hana pesa za ubwabwa anarudishwa nyumbani,,, hizo ni taarifa toka shule za tanga mjini..
Msambweni sec school iliyopo Tanga mjini,,,,watoto wasiokuwa na 800 za ubwabwa wanarudishwa nyumbani kila siku.
Hivi kweli mtoto akose elimu kisa tamaa za walimu?
Kama ni kwl michango mashuleni hakuna na imefutwa na serikali hii michango ya nn?
hivi mtoto kula mchana ubwabwa wa shule ni lazima?
Kama sio mradi wa walimu ni kitu gani?