CCM, elimu bure iko wapi?

CCM, elimu bure iko wapi?

Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Unataka mtoto akae chini? Acha kulialia ndugu changia maendeleo
 
PAMOJA NA JUHUDI ZA SERIKALI KUKUPUNGUZIA GHALAMA UNAKAA KUTAFUTA SEHEMU ZA KUPONDA NA KULALAMIKA. UWE NA SHUKRANI ELIMU BURE IMEONGEZA IDADI YA WATOTO WANAOWEZA KUSOMA. HIO MICHANGO MIDOGO TU KULETA DAWATI NI KUSAIDIANA NA SERIKALI ILI KUWEZA KUFANIKISHA WATOTO WETU WAPATE ELIMU. KUWENI WAZALENDO BASI. WAZAZI WENGINE WAMEJITOLEA KUJENGA MADARASA SEHEMU PUNGUFU PAMOJA NA WAKUU WA WILAYA NA HAWAPIGI KELELE MTANDAONI
 
Kuwa na akili zuzu wewe, serikali inapesa zake yenyewe Kama siyo Kodi na raslimali zetu?
Eti kuisaidia serikali!! Kweli ukiwa ccm akili zinahamia tumboni kilichoko tumboni kinahamia kichwani
 
UMECHANANIKIWA NA NJAA WEWE, SERIKALI INAKUSANYA HELA NA NDIO INA MAJUKUMU MAKUBWA NA MAGUMU YA KUHAKIKISHA KILA SEHEMU INA MAENDELEO, HAIWEZI IKAMFURAHISHA KILA MTU NA NI JUKUMU LETU WANANCHI KUISAIDIA . YAANI KITU KIDOGO KAMA DAWATI UNALIALIA ?????????
 
Unaona uzwazwa uliona!
Inakusanya pesa kutoka wapi?
Unashabikia upumbavu kwa ajili ya kujishibisha, hata point za kujibu huna
 
Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Nikushangae wewe unayewaamini CCM.
 
Poleni sana, haya ni madhara ya pale siasa inapochanganywa na hali halisi...

Cc: mahondaw
 
Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Mmmmmm elimu bure iko mkoa gani? Mbona Mza ndo michango imepamba moto? Nimepeleka mtoto kuanza f1,lim paper 12,000,dawati 60,000, cement mifuko 5x23000=115,000, sweta lazima 15,000 tia lazima 5000, chakula 25,000 kwa mwezi,twisheni 10,000 bad o maintain ya lazima kama daftari,sketi,sheti na viatu.
 
Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Iringa huku Dawati limeandikwa kwa pen sio mashine kama maandishi mengine ama kweli wanasiasa Mungu anawaona
 
Back
Top Bottom