CCM, elimu bure iko wapi?

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia CCM, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
 
Kwahiyo ulitaka mtoto wako akakae kwenye nini kama hujapeleka dawati ila nakushauri kama unaona kazi kwenda na dawati mpeleke shule za private kule hawaendi na madawati.
 
Umeombwa kuchangia dawati unasema michango mingi bora ungelipa ada.
Haya tutajie na michango mingine uliyoambiwa na kiasi gani kwa kila item.
Sio unakuja kudanganya watu hapa.
 
Unajua maana ya bure lakini????
Fikiria mwanafunzi haingizi chochote analipa nauli kwenye bus.polisi na wanajeshi wanalipwa mishahara na maposho kibao hawalipi chochote. Hilo ni taifa gani kama siyo la majuha.
Ukihoji sana unaambiwa hao ni walinda usalama so hizo ndiyo tip zao 😲!.
 
Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Ni punguzo tumepewa
 
Ila mengine yanaanzishwa tu na viongozi wa eneo husika, wanapingana na kauli ya elimu bure kwa vitendo wanaamini haiwezekani,
 
Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Sio Moro tu, hata huku d.1 juzi katukalisha kkao eti mchango wa ujenzi wa madarasa hayatoshi.!
 
Michango imepigwa marufuku!
Michango ipo sana,,tena sana ,,,
kila siku ya MUNGU lazima mtoto umpe 800 shilling wanasema ya kula chakula mchana,,,
Kama mtoto hana pesa za ubwabwa anarudishwa nyumbani,,, hizo ni taarifa toka shule za tanga mjini..

Msambweni sec school iliyopo Tanga mjini,,,,watoto wasiokuwa na 800 za ubwabwa wanarudishwa nyumbani kila siku.
Hivi kweli mtoto akose elimu kisa tamaa za walimu?
Kama ni kwl michango mashuleni hakuna na imefutwa na serikali hii michango ya nn?

hivi mtoto kula mchana ubwabwa wa shule ni lazima?
Kama sio mradi wa walimu ni kitu gani?
 
Kwahiyo ulitaka mtoto wako akakae kwenye nini kama hujapeleka dawati ila nakushauri kama unaona kazi kwenda na dawati mpeleke shule za private kule hawaendi na madawati.
Sifa yao kubwa utaiona tu, haijifichi. Kama kawaida ni mingine tena!
 
Saalam Wana bodi!

Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yayotupata wananchi Katja kipindi hiki Cha kupeleka wanafunzi shuleni.

Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhari tungelipa ada. Wakati wa kampeni Ndugu Magufuli kupitia ccm, alituaminisha kuwa elimu bure, lakini wakati huu ukifika shuleni tunarudishwa na watoto eti madarasa yapo lakini viti hakuna.

Manispaa ya Morogoro inatisha kwa michango. Joining Instruction, wamepewa wazazi haioneshi kuhitajika dawati, lakini ukifika na mwanafunzi asiye na dawani mnarudishwa.

Kodi zetu zinakwenda wapi, elimu bure ipo wapi, au mlidanganya Umma wa watanzani?
Wapinzani si wanachelewesha maendeleo! basi hayo hapo mkuu mmepata connection
 
Back
Top Bottom