William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
- #101
- Mwenyekiti wa CCM hana excuse hapa ya kutoku-act, safu nzima ya uongozi wa juu wa CCM isipokuwa Msekwa, ni lazima iondoke now. Recently, Msekwa ambaye kwa kawaida ni a compromise wa Mafisadi, amekua akionyesha kuanza kuchoshwa na hilo kundi, kwa mfano ni yeye tena kwa ujeuri sana aliyeizima hoja ya kumsafisha Lowassa NEC iliyopita, aliposema kwamba Mwinyi alipojiuzulu uwaziri wa ndani hakusafishwa na NEC, bali ni wananchi wa Tanzania ndio waliomsamehe, sasa na Lowassa aende kwa wananchi, hoja ikafa.
- Ni Msekwa ndiye aliyeimaliza hoja ya Karume na term ya tatu na wala sio siri tena kwamba ni yeye Karume ndiye aliyekua behind the scheme, kwa hiyo huyu Msekwa ndiye the only sober man sasa hivi, wengine wote waondoke now. Tunaamini kitendo cha Mwenyekiti kuhamia Lumumba na kuchapa kazi mpaka saa tano za usiku, tena katika ububu wa ajabu sana ina maana moja kwamba sasa ngoma inogile, mapokezi ya ajabu ya Sendeka majuzi jimboni kwake yanasema mengi sana kuhusu muelekeo wa hiki chama. Kitendo cha Katibu kuchagua kamati yenye mafisadi watupu kwamba ndiyo iwe kamati ya kampeni CCM taifa uchaguzi ujao ilikuwa ni aibu inayohitaji Mwenyekiti sasa kuondoa uchafu now! Mwenyekiti wakati ni sasa, bado unaweza kubadili sura nzima ya urais wako kwa only one serious strike!
Mungu Aibariki Tanzania.
Respect.
FMEs!