CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

kama huoni uhusiano kati ya CCM na Familia ya Nyerere,I think you are right. Mgombea Urais wa CCM ni lazima achaguliwe na Kamati Kuu ya CCM,pia na NEC ya CCM;siyo na Familia ya Nyerere. I hope I will have more time to discuss this with you ,but now I have other things to worry about.
 
Wapo watu wameitukana Familia ya Nyerere kuonyesha Uzalendo wao,utafikri sijui kwamba Familia ya Nyerere ndio maadui wa Tanzania. Watu wameitukana Familia ya Nyerere kuonyesha loyalty yao kwa viongozi wa sasa. Haya ndio mambo tunayopinga. Familia ya Nyerere haijali nani anaiongoza Tanzania. Au Chama gani kinaongozoa Tanzania. Familia ya Nyerere haijali kama Taifa Stars imeishinda timu ya Somalia. Wale wote ni Waaafrika,Familia ya Nyerere haijali nani anashinda.
Sisi hatujali nani anaiongoza Tanzania,we do not want to put obstacles in anyone's path. And we don't want anyone to argue with us without a reason.
Mwalimu Nyerere alikuwa anasema wakati ule kwamba anamuunga mkono Mkapa kuwa Mgombea Urais,badala ya Msuya au Kikwete,kwa vile Mkapa ni 'spititually stronger'
Kila kazi itahitaji a minimum amount of energy to do that job. Kazi ya kuwa Rais wa Tanzania,itahitaji a minimum amount of energy kuifanya. Kwa hiyo,if you have a vain and fickle person wanting to be President,it is obvious that he will not be able to do it. Kwa hiyo,tunauliza kuhusu uwezo wa Jakaya Kikwete kuifanya hii kazi. Ataweza kifanya hii kazi au are we going to sink deepr and deeper into corruption and filth?
Sijui kama nimelijibu swali lako wewe ambaye unauliza ''kwa nini tuisikilize Familia ya Nyerere?''
Famila ya Nyerere haijali nani anaongoza Tanzania. Hata mmoja wa Famila ya Nyerere akiamua kugombea Urais,utaona kwamba Familia ya Nyerere haijali nani anashinda. Kwa hiyo sisi tunaomba kwamba uwepo Uchaguzi wa amani.
 
Back
Top Bottom