CCM damu yangu! Ikifa na mimi Nakufa..

Weweseka tu mizizi ya ccm haingoleki nyerere aliweka zege ambalosilaha yake haijagunduliwa

Mkuu naogopa sana nikiangalia nchi za jirani na vyama vilivyokuwa tawala...
 
Thats real brother.mtakufa weng na umaskn ndio unawaita ss,mmefaid miaka 50 and nw its a time for changes,hey ccm u dig your own grave guys.GOD blec the coming changes in tz.
 
Nakupa sana pole maana najua upo ICU kwa sasa unakaribia kufa
 
Niliwahi kusikia jina la Cerebellum, hivi hiki kijiji cha ujamaa kiko mahali gani Tanzania?
 
Ni kweli mkuu wewe sio damu ya CCM ila umetuelekeza jinsi gani CCM wanavyotufanyia
Hongera mkuu hiyo ndio CCM ya leo
 
huwezi kutoka mana tayari umekula pesa ya mlipa kodi tayari na kuona utamu wake,nyerere alisema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha,ndivyo nawe umeshazoea vya kudhulumu ndo mana waona huwezi ondoka,endelea huko huko komred,
 
Nadhani hata VUTA NKUVUTE a.k.a Mzee TUPA TUPA wa Lumumba hilo kashaliona ebu mleta uzi muite huyu!
 
R.I.P ndugu yangu ,
tena uandae wosia,maana maneno yanaumba uhalisia.
Nakupongeza kwa ujasiri ulionao ambao umeweza kubainisha ukomo wako.
2015 ni maazishi yako mara baada ya uchaguz.Tuambie unazikwa wapi tuhudhurie.
 
Tutatetea serikali ya umoja wa kitaifa. hapo vipi?
 
huwezi kutoka mana tayari umekula pesa ya mlipa kodi tayari na kuona utamu wake,nyerere alisema ukila nyama ya mtu huwezi kuacha,ndivyo nawe umeshazoea vya kudhulumu ndo mana waona huwezi ondoka,endelea huko huko komred,

Kwa upungufu wa akili za watanzania., kuna mambo tutafanya na yatatulinda..
 
Hivyo vyama ulivyoviodhoresha hapo vilikuwa vya kikabila au sehemu ndio maana vilipotea haraka sana
angalizo kwa chadema ambacho kinafanana na vyama hivyo
 
Hivyo vyama ulivyoviodhoresha hapo vilikuwa vya kikabila au sehemu ndio maana vilipotea haraka sana
angalizo kwa chadema ambacho kinafanana na vyama hivyo

lakini vilitawala nchi zao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…