CCJ Kulikoni!?

CCJ Kulikoni!?

If CCJ people want to participate in the next GE let them join existing parties. There are 18 parties to join or take over. These people are politically naive my brother.

The easiest way was to take a small party like UMD, JAHAZI ASILIA etc, call the national congress and change the name. They decided to take a long route. Reason? They were not real, they just wanted to threaten their old party CCM so that it accommodates them.

I know the essence of CCJ. I spoke to all people they claim to have especially the ethical elders. These are my wazee and i meet them every weekend. None of them is in CCJ. These guys once upon a time visited some elders, and let the Intelligence system know that, and then declared a party. This CCJ thing is hoax. This CCJ confuses us.

Tupige mstari na kujipanga kwenda mbele. Those in CJJ with liberal minds join CUF, those with conservative minds come CHADEMA, those with socialist orientation join NCCR-M or TLP. Tusipoteze muda, we need more MPs in the house.......

Mheshimiwa Zitto,
Maneno yako yanasikitisha sana. Yanasikitisha kwa sababu inaelekea wanaotakiwa na wenye haki na uwezo wa kuanzisha vyama vya upinzani ni watu wenye majina, wananchi wa kawaida kamwe hawapaswi kufanya hivyo. Ama vyama vya siasa shurti viwe na majina ya wanaojulikana ili vipate uhalali wa kuwa vyama vya siasa!

Hivi wakati nyie waheshimiwa wa CHADEMA na vyama vingine vilivyopo mlipokuwa mnaanzisha vyama vyenu nyote mlikuwa na majina yanayovuma nchini? Zitto si ulianzia chini na labda uwezo wako wa kujieleza Bungeni ndio ukakujengea jina? Sasa umekuwa maarufu unaweza kuongea na wazee kila weekend basi Watanzania wenzio wanaojaribu kutaka kujaribu kama ninyi mlivyojaribu na kushindwa kutupeleka peponi, unawakejeli.

Pia nasikitika kusema kwamba sioni mantiki yoyote ya wewe kuja na maneno kwamba unaongea na baadhi ya the so called wazee kila weekend. So what?

Acheni maneno yenu na kejeli kwa wananchi wenzenu ambao wanaona nchi inavyokwenda kombo na wanajaribu kudhihirisha ukereketwa wao kwa njia ambazo zinaruhusiwa na Katiba ya nchi. Nyie tangu muanzishe vyama vyenu hakuna lolote la maana mnalofanya zaidi ya kuangalia nchi inavyosambaratika.

Mimi ni mstaafu. Nimeishuhudia nchi hii ilivyokuwa ikiendeshwa tangu tupate Uhuru hadi sasa. Huko tuendako siko kabisa kulikodhamiriwa. Sasa labda nikutume ukawaambie hao Wazee unaoongea nao, je wao wanaridhika kuona nchi inavyokwenda? Na kama hawaridhiki wanafanya nini kusaidia nchi irudi kwenye mstari au ndio nao wameishakata tamaa kabisa na wako tayari kuiona nchi inatumbukia shimoni?

Wakati nyie mnaridhika na hali halisi, angalieni mamia kwa maelfu kama si mamilioni ya wananchi wanavyoteseka kutokana na hali ngumu ya maisha kwa sababu tu nyie mmeamua kwamba mnayo haki zaidi ya kuanzisha vyama kuliko wao, wakianzisha wenzenu mko tayari kupiga vita na kukejeli; mnayo haki ya kuwa Wabunge, viongozi n.k. kwa hiyo mnayo haki ya kupata share kubwa ya keki ya taifa wakati wananchi wenzenu wanapata mashahara usiokidhi mahitaji hata ya wiki moja, wanakufa na njaa, hawapati tiba zinazostahili na wala watoto wao hawaendi shule kwa sababu nyinyi ndio mna haki na mnastahili kupata kuliko wao. Aliyesema "mwenye shibe hamjui mwenye njaa" kweli hakukosea!

Niko kwenye 'bedrest' lakini baada ya kusoma madudu humu nimeona nitoe mawazo yangu!!
 
Binti Ntilie

Sema tu ulikuwa unatafuta sehemu utoe dukuduku lako kwa Zitto kwavile uliyoandika ni tofauti kabisa na post ya Zitto uliyoikopi hayaendani kabisa sasa hao watu wenye majina unaowataja ni akina nani.
 
Naam, kama ujumbe umefika ni sawia kabisaa. Post yangu imejaribu kujibu wote walioandika kuishutumu, kuikandia na kuikejeli CCJ. Kwa nini? Hii Tanzania ni ya wote na kila mmoja wetu anayo haki kama mtu mwingine yeyote kushiriki siasa kwa njia yoyote anayoiona inafaa midhali havunji sheria.

Hivi kweli wewe unaona ni sawa Zitto atuambie kwamba yeye anaongea na Wazee kila weekend? Ina mantiki gani sentensi hiyo? Kwanza, kwa kuwaleta humu JF anawadhalilisha tu hao wazee ambao wanampa fursa ya kuongea nao in confidence!

Luteni, wewe sijui msimamo wako wa kisiasa ukoje, hivi uko radhi kuona wananchi wakiteseka na nchi inakwenda kusikojulikana unaridhika na vyama vya siasa vilivyokuwepo kwa miaka zaidi ya 15 havijafanya lolote la maana?

Siasa si ugomvi wala uhaini kwa hiyo sioni kwa nini watu wahujumiane kwa sababu za kisiasa maana kufanya hivyo ni kuwanyima watu haki yao ya kikatiba. Kama CCM, Serikali na Msajili wa Vyama vya Siasa wamefanya njama za kukikwamisha CCJ makusudi ni aibu kubwa sana kwao. Hakuna mwenye 'hatimiliki' ya kuendesha nchi.
 
Bibi Ntilie

Hivi huwezi kuongea unachotaka bila kumhusisha Zitto unafikiri ukita jina la Zitto ndiyo maneno yako yatakuwa na uzito, kwani Zitto ndiye kaleta matatizo ya watanzania au ndiye kafanya Ccj isisajiliwe, usilie lie sana lia na viongozi uliowachagua tangu enzi za Tanu.
 
Luteni, usitake niseme jambo ambalo linaweza kunifanya nikuvunjie heshima. Nimejibu yale aliyoandika Mheshimiwa Zitto na watu wengine na wala sikuwahi kukutaja kwa jina lako la Luteni. Mzigo uko kichwani wewe jasho lakutokeani? Kwangu mimi Zitto namheshimu kama binadamu mwingine yeyote na wala siwezi nikamheshimu wala kumuogopa kwa cheo chake wala uzito wowote unaodhani anao maana cheo ni dhamana leo atakuwanacho kesho anawaweza akawa hana vile vile. Kama anakosea ataambiwa tu na watu wenye uzoefu huo wa enzi za TANU ulizotaja. Usisahau kwamba TANU ndiyo inakufanya wewe utambe kwa kujiita Mtanzania.

Kama huwezi kujadiliana kwa hoja basi bora utulize boli tu, usitake kuwa mpambe wa 'Waheshimiwa' ukidhani watakutupia chochote!
 
Bibi Ntilie

Hivi huwezi kuongea unachotaka bila kumhusisha Zitto unafikiri ukita jina la Zitto ndiyo maneno yako yatakuwa na uzito, kwani Zitto ndiye kaleta matatizo ya watanzania au ndiye kafanya Ccj isisajiliwe, usilie lie sana lia na viongozi uliowachagua tangu enzi za Tanu.

Luteni, usitake niseme jambo ambalo linaweza kunifanya nikuvunjie heshima. Nimejibu yale aliyoandika Mheshimiwa Zitto na watu wengine na wala sikuwahi kukutaja kwa jina lako la Luteni. Mzigo uko kichwani wewe jasho lakutokeani? Kwangu mimi Zitto namheshimu kama binadamu mwingine yeyote na wala siwezi nikamheshimu wala kumuogopa kwa cheo chake wala uzito wowote unaodhani anao maana cheo ni dhamana leo atakuwanacho kesho anaweza akawa hana vilevile. Kama anakosea ataambiwa tu na watu wenye uzoefu huo wa enzi za TANU ulizotaja. Usisahau kwamba TANU ndiyo inakufanya wewe utambe kwa kujiita Mtanzania.

Kama huwezi kujadiliana kwa hoja basi bora utulize boli tu, usitake kuwa mpambe wa 'Waheshimiwa' ukidhani watakutupia chochote!
 
Binti Ntilie

Sema tu ulikuwa unatafuta sehemu utoe dukuduku lako kwa Zitto kwavile uliyoandika ni tofauti kabisa na post ya Zitto uliyoikopi hayaendani kabisa sasa hao watu wenye majina unaowataja ni akina nani.

Now I know!, nimefuatilia response zako nyingi nimegundua kuwa "Lila na Fila hazitangamani"!
 
Tatizo la vyama vyetu vya siasa ni kufikiri CCM watakuja kuwapisha madarakani kirahisi. Siasa ni mapambano. CCJ walipaswa kujua kwamba kuna uwezekanao wa kuchezewa shere na wajiandae kuzuia. Hapa tayari mchezo umekwisha. Wanaenda mahakamani, kesi itatajwa Januari 2011, na itaanza kusikilizwa Mei 2011, Halafu?

Halafu wamelipiga mno debe tupo hadi linawatisha washika mpini. Kulikuwa na ubaya gani kufanya haya silently halafu mnaibuka mkishasajiliwa. Sasa mnatisha kabla hamjazaliwa si mnafanya muendelee kubaki mimba, MM hata wewe hii michezo unashindwa kuisoma?

Mkulu Kitila Mkumbo,
Hivi nchi hii itaendelea kwa mtindo huu wa kutaka kufanya mambo kwa kificho na kichinichini hadi lini? Ni aibu sana kwa nchi ambayo inajitapa kwamba inaendesha nchi kwa misingi ya utawala bora kwa kufuata demokrasia, kufanya michezo ya kuigiza ya aina inayoendelea hivi sasa nchini mwetu. Tunaipeleka wapi Tanzania yetu?
 
Luteni, usitake niseme jambo ambalo linaweza kunifanya nikuvunjie heshima. Nimejibu yale aliyoandika Mheshimiwa Zitto na watu wengine na wala sikuwahi kukutaja kwa jina lako la Luteni. Mzigo uko kichwani wewe jasho lakutokeani? Kwangu mimi Zitto namheshimu kama binadamu mwingine yeyote na wala siwezi nikamheshimu wala kumuogopa kwa cheo chake wala uzito wowote unaodhani anao maana cheo ni dhamana leo atakuwanacho kesho anaweza akawa hana vilevile. Kama anakosea ataambiwa tu na watu wenye uzoefu huo wa enzi za TANU ulizotaja. Usisahau kwamba TANU ndiyo inakufanya wewe utambe kwa kujiita Mtanzania.

Kama huwezi kujadiliana kwa hoja basi bora utulize boli tu, usitake kuwa mpambe wa 'Waheshimiwa' ukidhani watakutupia chochote!
Heshima yangu ilishavunjika zamani toka enzi za wakoloni wewe toa tu ulilonalo moyoni unapoandika post inajibiwa na wote kama ulitaka iwe siri ungem PM Zitto au umpigie simu.
 
Asante. Lakini mimi nadhani husomi posts za watu vizuri ama labda kimobo cha Mheshimiwa Zitto kimekupiga chenga ukakurupuka kujibu bila kuelewa. Wazungu haohao wana usemi "Never argue with...." So, it is not worth it to continue arguing with you Afande Luteni unayetetemekea 'waheshimiwa'!
 
Sawa mimi nilikimbia umande kidhungu nitakijulia wapi heri nyie mliofundishwa na wadhungu enzi za ukoloni sisi tumefundishwa na walimu wa voda fasta.
 
There you are!, Good and evil will never mix, but you want us to believe that "Brine" is not "salt"
I know what you are looking for let's end here, afterall we are out of the topic which is CCJ kulikoni.
 
Mheshimiwa Zitto,
Maneno yako yanasikitisha sana. Yanasikitisha kwa sababu inaelekea wanaotakiwa na wenye haki na uwezo wa kuanzisha vyama vya upinzani ni watu wenye majina, wananchi wa kawaida kamwe hawapaswi kufanya hivyo. Ama vyama vya siasa shurti viwe na majina ya wanaojulikana ili vipate uhalali wa kuwa vyama vya siasa!

Hivi wakati nyie waheshimiwa wa CHADEMA na vyama vingine vilivyopo mlipokuwa mnaanzisha vyama vyenu nyote mlikuwa na majina yanayovuma nchini? Zitto si ulianzia chini na labda uwezo wako wa kujieleza Bungeni ndio ukakujengea jina? Sasa umekuwa maarufu unaweza kuongea na wazee kila weekend basi Watanzania wenzio wanaojaribu kutaka kujaribu kama ninyi mlivyojaribu na kushindwa kutupeleka peponi, unawakejeli.

Pia nasikitika kusema kwamba sioni mantiki yoyote ya wewe kuja na maneno kwamba unaongea na baadhi ya the so called wazee kila weekend. So what?

Acheni maneno yenu na kejeli kwa wananchi wenzenu ambao wanaona nchi inavyokwenda kombo na wanajaribu kudhihirisha ukereketwa wao kwa njia ambazo zinaruhusiwa na Katiba ya nchi. Nyie tangu muanzishe vyama vyenu hakuna lolote la maana mnalofanya zaidi ya kuangalia nchi inavyosambaratika.

Mimi ni mstaafu. Nimeishuhudia nchi hii ilivyokuwa ikiendeshwa tangu tupate Uhuru hadi sasa. Huko tuendako siko kabisa kulikodhamiriwa. Sasa labda nikutume ukawaambie hao Wazee unaoongea nao, je wao wanaridhika kuona nchi inavyokwenda? Na kama hawaridhiki wanafanya nini kusaidia nchi irudi kwenye mstari au ndio nao wameishakata tamaa kabisa na wako tayari kuiona nchi inatumbukia shimoni?

Wakati nyie mnaridhika na hali halisi, angalieni mamia kwa maelfu kama si mamilioni ya wananchi wanavyoteseka kutokana na hali ngumu ya maisha kwa sababu tu nyie mmeamua kwamba mnayo haki zaidi ya kuanzisha vyama kuliko wao, wakianzisha wenzenu mko tayari kupiga vita na kukejeli; mnayo haki ya kuwa Wabunge, viongozi n.k. kwa hiyo mnayo haki ya kupata share kubwa ya keki ya taifa wakati wananchi wenzenu wanapata mashahara usiokidhi mahitaji hata ya wiki moja, wanakufa na njaa, hawapati tiba zinazostahili na wala watoto wao hawaendi shule kwa sababu nyinyi ndio mna haki na mnastahili kupata kuliko wao. Aliyesema "mwenye shibe hamjui mwenye njaa" kweli hakukosea!

Niko kwenye 'bedrest' lakini baada ya kusoma madudu humu nimeona nitoe mawazo yangu!!

Damn! This is deep...
 
Very deep!....Lakini imekosa ushawishi kwa sababu kuunda chama sio majibu ya kushindwa kwa Zitto. Na pia hili swala la kujaribu kupata umaarufu, kwa wasomaji kama sisi linatisha zaidi kuwasoma wanasiasa wetu. Zitto alichosema ni wao CCJ kujiunga ktk makundi yanayoridhiana na imani zao za kiitikadi basi. Sii vibaya kisiasa na ndivyo inavyotakiwa kujoin force na wenzako huko pia uwezekano wa kupanda madaraka kama Zitto utakuwepo. Uwezekano wa wao kupeleka mawazo mapya ni mkubwa zaidi kuliko kuanzisha kitu kingine ambacho kitazidisha utitiri wa vyama maadam sheria inaruhusu.

Ni lini tumepoteza mwelekeo wetu haswa?... ni baada ya kuwa na vyama vingi mwaka 1992..hivyo yawezekana kabisa hii ndio source ya matatizo ya kuburuzwa baada ya kugawanyika ktk makundi na kila yanavyozidi ndivyo hali inazidi kubwa mbaya zaidi kwa wananchi na ushindi wa CCM unaongezeka kila mwaka.... bado tunataka kuongeza hesabu ya vyama.

Jamani it doesn't take a genius to figure out kwamba the more parties you have the more divided U become na kwa mijitu mijinga kama sisi ndio mwanzo wa chuki na Ubaguzi.. Haya majibu yote ya hasira na chuki yanatokana na mgawanyiko huo (sectarianism), ndio maana unawaona watu wakivaa nguo, kofia, Khanga za CCM, Chadema au CUF as if it's clan symbolic pride..Huko Tarime walimuua mbwa aliyevishwa T - shirt ya CCM.. huko ndiko tunaenda.
 
Brother, ama upo misinformed au deadly wrong. Here CCJ is the problem. They must be smarter and smarter.

Hebu niambie kwa nini Kiyabo hakuwa na kadi yake? Kweli hakuweza hata kupata ushauri kwa wazoefu pale Ufipa street CHADEMA? Ofisi za CCJ na CHADEMA zipo karibu kabisa. Ofisi za CCJ na UDP zipo karibu kabisa, wangeuliza hata.

Kiyabo unaamini ana kadi ya unachama wa Dar? na kama alikuwa wa Dar wa tawi ambalo msajili alienda kuhakiki?

Tatizo ni CCJ. with media coverage, with support ya watu kama MwanaKijiji walijiona wao ndio upinzani na upinzani ndio wao.

Yawezekana ni sehemu ya upinzani huo huo, just more bold, focused and determined to be different.

Hata kama watu wanadhani upinzani wa sasa ulikosea mahala fulani,

wanadhani...?? as if haukukusoea mahali? Lakini yawezekana upande mwingine nikudhani kweli kwa sababu upinzani wa sasa haujakosea mahali fulani.

lakini historia ni funzo nzuri sana. Kuna watu walisajili vyama wakati ambao CCM ilikuwa na nguvu kweli kweli na wakavuka viunzi. CCJ wajifunze kwao.

tatizo si kusajili au kuweza kuwa na usajili wa kudumu.. it is bigger than that.. it is the right to be the party we want it to be not anything more or less.
Nilisoma Katiba ya CCJ, inaeleza imani yangu ya kisiasa kabisa ie Social democracy. Nilikutana mara kwa mara na Mwenyekiti wa CCJ. Nilizungumza na Mpendazoe.

Ni katiba ya muda. Na kwa vile ni imani yako ni vizuri ukaja upande huu.

CCJ ndio tatizo. Wajirekebishe

Kuna wengine walisema Chadema ndiyo tatizo na wengine wakasema CCM ndio tatizo na wakienda mbele zaidi wanaanza kusema fulani ndio tatizo n.k Hawataki kunyosha kidole kwa tatizo lenyewe hasa.

Nayachukua maneno yako kama kauli na usiwe na shaka hata kidogo kuwa tuko upande mmoja na karibu zaidi katika hili kuliko unavyoweza kudhania. Tunataka kubadilisha politics za Tanzania ili upinzani ufanye vizuri zaidi. Watch and behold.
 
Hujanielewa na kwa kuwa umeshahukumu wala siakusaidia kuelewa. Hapa nimeonesha jinsi vyama makini kama CUF vinavyolinda ngome zao. Niseme tu kuwa, to me CCJ was a threat to CHADEMA and other opposition parties. I better get rid of it. We dont need an emerging party every new election. We need existing parties to consolidate. To me i go for CHADEMA, CUF and NCCR-M and the civil society. New parties? i dont have that luxury

I like this one because it is the most honest response given by a Chadema member or fan. CCJ has a dual threat; one is to the existing opposition parties who probably consider themselves to be the "rightfully opposition" and the ruling party which consideritself to be the "rightful ruler".

I totally agree on the need to consolidate the opposition. However, history bears witness that the current opposition have miserably and categorically failed to consolidate. For 15 years they have talked about this 'need' but they have never been able to attain it. CCJ will force this upon them. Just a different way of doing politics. Lo and behold!
 
Kiyabo unaamini ana kadi ya unachama wa Dar? na kama alikuwa wa Dar wa tawi ambalo msajili alienda kuhakiki?

Sasa badala ya Kusema kwamba hana kadi kwa sababu iliibiwa si angesema yeye si mwanachama wa tawi la Mwembeyanga? Na vile vile kama ile ilikuwa siku maalumu ya Dra si kadi angekuwa nayo mkonon!

Kwenye hili suala la kutokuwa na kadi na kutokuwepo kwenye list naona Mzee unakwepa kujibu maswali rahisi kabia
 
Back
Top Bottom