CCJ Kulikoni!?

CCJ Kulikoni!?

Jana katika vyombo mbali mbali vya habari niliona habari juu ya baadhi ya wanachama wa CCJ waliokuwa wana hakikiwa na msajili wa vyama kuwa walighushi, na uanachama wao ni batili.

Cha ajabu nilimwona mwenyekiti wa CCJ akifoka kwa hasira "huyu mzee (Tendwa) ameshindwa kazi, ni bora ajiuzuru"

Huku mwenyekiti huyo akisisitiza kuwa zoezi hilo lighailishwe, lisiendelee tena kwa maeneo mengine.

Maswali yangu kwa CCJ:

1) Nini tatizo kwa hao wanachama (inaosemekana ni) batili
2) Nakumbuka CCJ ilikuwa ikisubiri kwa hamu zoezi hili la uhakiki; Kulikoni tena mnataka zoezi lisiendelee?
3) Mkono wa CCM upo wapi haswa kwa wanachama wanaosemekana ni batili?

Kwenye kipindi cha redio cha WAPO FM kilichopo DSM jana asubuhi, Mwenyekiti amedai kwamba walikwishasitisha zoezi hilo na walimwandikia Tendwa barua. Yeye Tendwa alishupaza shingo kujipeleka mwenyewe mikoani pasipo kuongozwa na mtu. Alifanya hivyo kwa makusudi bila shaka kwa kuongozwa na hisia za watu fulani. Kama chama kimetawanya waraka kwa watu wake kusitisha zoezi la uhakiki, ni mwanachama gani utarajie kumkuta? Atawezaje Tendwa kuna ofisi bila kuonyeshwa na wahusika? Ina maana anafanya kazi zake kwa hisia za mitaani? Alikuwa ameongozana na kiongozi gani wa CCJ? Hiyo ni danganya toto, Tendwa ni CCM damu na wamemtumia kuharibu sifa za CCJ kwa hofu za CCJ kuangamizwa na CCJ.
 
Naam, kama ujumbe umefika ni sawia kabisaa. Post yangu imejaribu kujibu wote walioandika kuishutumu, kuikandia na kuikejeli CCJ. Kwa nini? Hii Tanzania ni ya wote na kila mmoja wetu anayo haki kama mtu mwingine yeyote kushiriki siasa kwa njia yoyote anayoiona inafaa midhali havunji sheria.

Hivi kweli wewe unaona ni sawa Zitto atuambie kwamba yeye anaongea na Wazee kila weekend? Ina mantiki gani sentensi hiyo? Kwanza, kwa kuwaleta humu JF anawadhalilisha tu hao wazee ambao wanampa fursa ya kuongea nao in confidence!

Luteni, wewe sijui msimamo wako wa kisiasa ukoje, hivi uko radhi kuona wananchi wakiteseka na nchi inakwenda kusikojulikana unaridhika na vyama vya siasa vilivyokuwepo kwa miaka zaidi ya 15 havijafanya lolote la maana?

Siasa si ugomvi wala uhaini kwa hiyo sioni kwa nini watu wahujumiane kwa sababu za kisiasa maana kufanya hivyo ni kuwanyima watu haki yao ya kikatiba. Kama CCM, Serikali na Msajili wa Vyama vya Siasa wamefanya njama za kukikwamisha CCJ makusudi ni aibu kubwa sana kwao. Hakuna mwenye 'hatimiliki' ya kuendesha nchi.

Japan chama vya upinzani vilikaa miaka 75 ndiyo kimeingia madarakani. Uingereza conservative tangia 1997 chadema ikiwa na miaka 2 tu ndiyo wameingia mwaka huu na hicho ni chama kikongwe. Sasa hiyo miaka yako 15 tu imekuwa wimbo mnashangaza sana.

Mimi mwenyewe nilikuwa ni mmoja wa watu ambao nilikuwa nalia lia kuwa vyama vya upinzani havifanyi kitu lakinitofauti na wengi wenu mnaoendelea kulia mimi nikaamua kufanya kazi.

1. nikaamua niende kwenye uchaguzi wa mwisho wa by election kule biharamulo, Nikatumia likizo yangu na fedha yangu ambayo ningeweza kununu tofari kama 1000 hivi. Nikaenda na kufanya utafiti wangu ili niweze kujionea mwenyewe hali halisi

2. mwaka jana pia nikaamua kushiriki kampeni ya mwenyekiti wa mtaa wangu ili niweze kupata darasa zaidi. Kama ukitaka kujua zaidi naweza kuelezea lakini experiene yangu inatosha iweze kuwaona hawa wapinzani ni hero kabisa.

Kuna wakati namwonea huruma sana mrema na huwa nasema kwa unyani wetu huu kwa nini usirudi CCM tu!
 
Unajua kibaha ndiyo ilikuwa sehemu ya kumwonesha kuwa Dar Alichemka? Kuzira huwa ni tabia ya ...........................

hatukuzira.. inabidi ujifunze "Sanaa ya Vita"..usipigane vita ambayo unajua utashindwa.... ila unaweza kupigana vita ambayo unaweza kushinda..
 
Kwenye kipindi cha redio cha WAPO FM kilichopo DSM jana asubuhi, Mwenyekiti amedai kwamba walikwishasitisha zoezi hilo na walimwandikia Tendwa barua. Yeye Tendwa alishupaza shingo kujipeleka mwenyewe mikoani pasipo kuongozwa na mtu. Alifanya hivyo kwa makusudi bila shaka kwa kuongozwa na hisia za watu fulani. Kama chama kimetawanya waraka kwa watu wake kusitisha zoezi la uhakiki, ni mwanachama gani utarajie kumkuta? Atawezaje Tendwa kuna ofisi bila kuonyeshwa na wahusika? Ina maana anafanya kazi zake kwa hisia za mitaani? Alikuwa ameongozana na kiongozi gani wa CCJ? Hiyo ni danganya toto, Tendwa ni CCM damu na wamemtumia kuharibu sifa za CCJ kwa hofu za CCJ kuangamizwa na CCJ.

subiri muone.. unaweza kushinda pigano lakini ukapoteza vita vile vile.. so far RPP ameshinda pigano moja.. bado hatujakubali kumpa ushindi wa vita.
 
hatukuzira.. inabidi ujifunze "Sanaa ya Vita"..usipigane vita ambayo unajua utashindwa.... ila unaweza kupigana vita ambayo unaweza kushinda..

Inaelekea sijui maana ya kuzira! Navyo elewe mimi kuzira ni kuacha\kukataa\kutofanya kitu ambacho bado unakipendakukifanya\kitokee. Mimi mawazo yangu mimi ni kwamba mgeendelea kibaa lakini kule mngejipanga zaidi na kuhakikisha kuwa wanachama wenu waote wako huko hivyo mngefanya jambo moja kubwa sana nalo ni
(i) kufuta PR yenu iliyoharibiwa
(ii) kwa sababu nyie hamtaki kabisa kuuliza basi mgeendelea kupata experience ya mbinu za CCM kwa vitendo sasa hivi mnayo moja tu
(iii) kugombana na mke wa mwenye nyumba sijui kama kunakufanya eundelee kumsubiri baba mwenye nyumba labda majirani
 
Halafu wamelipiga mno debe tupo hadi linawatisha washika mpini. Kulikuwa na ubaya gani kufanya haya silently halafu mnaibuka mkishasajiliwa. Sasa mnatisha kabla hamjazaliwa si mnafanya muendelee kubaki mimba, MM hata wewe hii michezo unashindwa kuisoma?
.
Kitila, kwani hujui kupiga sana makelele ni moja ya mbinu za ushindi ili kumchanganya adui. Nilipopita JKT, kwenye somo la Mbinu za Medani, kuna kipengele kinaitwa Charging!.

Hata zile bunduki za SAR zenye ile sime mbele, ndio hutumika wakati wa charging!.

Japo nakubaliana na wewe, simba mwenda kimya ndie mla nyama!.
 
CCJ kumbe walikuwa zaidi kwenye kuendeleza mizaha! I am very dissapointed
 
I like this one because it is the most honest response given by a Chadema member or fan. CCJ has a dual threat; one is to the existing opposition parties who probably consider themselves to be the "rightfully opposition" and the ruling party which consideritself to be the "rightful ruler".

I totally agree on the need to consolidate the opposition. However, history bears witness that the current opposition have miserably and categorically failed to consolidate. For 15 years they have talked about this 'need' but they have never been able to attain it. CCJ will force this upon them. Just a different way of doing politics. Lo and behold!

na kweli...hii comment ya ZItto imenishangaza kweli! Yani anafurahi kifo cha mwenzake??hahahaha! Kweli CCJ ni a double threat! Alafu this goes beyond Usajili wa CCJ...it goes to the core of what it means to be upinzani! Yani kama upinzani wanaona CCJ ni threat kwao...what does it say about them? Ina maana Chadema wanataka kuwa Chama Pekee cha Upinzani? AIBU!!
 
CCJ haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Tusonge mbele na hivyo vilivyopo. Vina jipya gani? CUF wao ni walewale tangu 1995. Matokeo kwao yatakuwa yaleyale ukiongezea na serikali ya mseto kule Zanzibar. CHADEMA, TLP, UDP mna lipi jipya?
 
na kweli...hii comment ya ZItto imenishangaza kweli! Yani anafurahi kifo cha mwenzake??hahahaha! Kweli CCJ ni a double threat! Alafu this goes beyond Usajili wa CCJ...it goes to the core of what it means to be upinzani! Yani kama upinzani wanaona CCJ ni threat kwao...what does it say about them? Ina maana Chadema wanataka kuwa Chama Pekee cha Upinzani? AIBU!!
Ukweli comment zingine za Mh Zitto sometimes huwa zinatukatisha tamaa wapenzi wa sera za Chadema, Zitto huwa hawezi kuchagua maneno kama hizi siri ni za ndani na si vizuri kuzitoa nje, huwezi kumtangazia adui yako kuwa umebakiza risasi tatu tu hayo ndiyo mambo anayotakiwa Zitto ayazingatie, kama comment aliyoitoa juzi kuwa he was to be a Minister in 2008 nilishindwa hata kujiuliza yes but for your level(Mh) you shouldn't make public, lakini huwa najipa moyo kwa vile bwa mdogo namjua yangesemwa na Dr. ingekuwa big disappointment kwangu.
 
Tendwa: CCJ membership screening to continue




By Dominic Nkolimwa



7th June 2010








headline_bullet.jpg
Party officials plan legal action




The Registrar of Political Parties, John Tendwa has said that he will not abandon the verification of Chama Cha Jamii members arguing that he is following rules and regulations.
He however refuted allegations that he was being used by CCM to sabotage CCJ, after no one appeared claiming to be a member of the new party in Coast and Morogoro regions.
"I am executing my duties and it has nothing to do with being used by other political parties," he said.
Speaking to The Guardian yesterday by telephone Tendwa said that he has not received any letter from CCJ asking him to suspend the membership verification as earlier claimed by CCJ, saying that it was in his authority to decide whether to suspend it or not.
"Even if I would have received the letter, I am the one to decide whether to suspend the exercise or not," he said.
He said he does not plan to abandon the exercise which has so far covered Dar es Salaam, Coast and Morogoro region.
Tendwa said only 13 members, all in Dar es Salaam, have been verified after carrying out the exercise in three regions.
On CCJ plan to file a case against him, Tendwa said they were free to do so, as their constitutional right.
"If CCJ have decided to file a case let them do so because it is their right, but I assure them that all the required procedures, rules and regulations have been observed in carrying out the verification exercise since day one," he said.
He said the office of the Registrar of Political Parties cannot decide on its own to verify the members without agreeing with the respective political party, adding that the exercise was conducted in public in collaboration with the leader of the political party seeking for permanent registration.
CCJ Deputy General Secretary Dickson Ngh'illy yesterday said that his party plan to file a case against the Registrar of Political Parties has not been shelved.
"It is true we are intending to file a case against Tendwa because after making a thorough research on the verification, we found that Tendwa must be taken to court," Ngh'illy said.
"We wonder why the exercise is continuing while we have asked him to stop… we wrote him a letter on June 3 asking for the exercise to be stopped," he said.
"What we know is that we sent our letter to his office and our dispatch has been signed, indicating that the letter has been received by his office," said Ng'illy.
Last week, the registrar refused to embark on the verification, saying his office was still screening the membership portfolios of several other parties that had approached it and was without the money it needed to conduct the exercise.
At a news conference a couple of days later, however, CCJ spokesman Fred Mpendazoe accused the registrar's office of sabotaging the party and gave Tendwa a week to embark on the verification or face legal action.



SOURCE: THE GUARDIAN
 
Hivi kwa mfano Simba wakiindikia TTF barua kuiomba iahirishe Mpambano wake na Yanga na TTF hawakuijibu na Simba hawakwenda Uwanjani hivi Simba atakuwa hajapoteza pambano?

Hivi Baada ya CCJ kuandika barua kwa Tendwa walijibiwa nini?
 
Back
Top Bottom