Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,984
GS, ngoja nikae chini na kuchanganua matatizo ya sera za CHADEMA na ni kwanini ni kinyume na zile za CCJ. Kuamini vitu vile vile au kwa karibu haina maana mtatumia njia zile zile kwa sababu yote uliyoyasema kuhusu imani za Chadema yaweza kuwa ni imani ya CCM vile viile!
Utatumia nguvu nyingi sana kuchanganua tofauti ya itikadi katika vyama vyetu, na unaweza usifanikiwe. Muhimu zaidi, kufikiri kwamba matatizo yetu yanatokana na itikadi mbaya au kutokuwa na itikadi inaweza ikawa very simplistic, na tunaweza tukawa tunajaribu kutibu malaria kwa tumia panadol, hatutapona!!