omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,325
- 2,498
Ndio maana wengine wanasema jamvi limeingiliwa kwa ajili ya maslahi binafsi badala ya maslahi ya kijamii. Ukitaka kuhakikisha hili jaribu kupitia threads za miaka kabla ya 2010 uone jinsi members walivyokuwa wakijikita katika hoja badla ya chuki na udaku kama ilivyo sasa.Nakupa LIKE mkuu.. wajua kuna mengi hapa kwetu sio wote tunayafahamu.. hivyo kupitia majukwaa haya,sio vibaya yakatoa elimu kwa wanaofahamu kuwafahamisha wengine yale wayajuayo na yale wasioyajua... Tulitumie jukwaa hili kwa faida na sio ki ushabiki wa Siasa mbovu!!