CCBRT ni ya Nani?

CCBRT ni ya Nani?

CCBRT iliingia Tanzania kwa jitihada za Dr. Wilbroad P. Slaa, wakati akiwa mlezi wa chama cha walemavu Tanzania. Lazima apewe sifa yake hata kama hatumpendi. Am not his fan, lakini huo ndo ukweli.

Huwa nafurahishwa sana na Watu wenye upei kama wewe.. Unastahili kuitwa GT wa hili jamvi
 
Toa Pendekezo lako hapa,nani anastahili?
Prof. mwandosya was good ila sasa kwa hali aliyonayo ya homa sidhani. salim ahmed salim is good too, ila umri naona unamtupa mkono.
lowassa somehow lakini mwizi, Sitta is fitting however ni mtu wa kuhamaki, Membe can make it ila sio mzuri sana kwenye kuongea kwake. Migiro inawezekana but you can not predict kwani namuonaga yupo kimya sana
Labda mimi.
 
Kwenu huaminiki ..nani atakuamini humu... ?
 
Tatizo sasa ccbrt imekuwa na bei ghali mno. Na tena baada ya waswahili kukabidhiwa, huduma zimekuwa za kiswahili-swahili!!!
 
Huduma za CCBRT zinakua nafuu kutoka wanapata michango mingi kutoka wa wafadhili mbalimbali kutoka nje ya nchi na ndani ya nchi, tanzanzia karibia mabenki yote makampuni ya simu wanapeleka pale michango yao.

Si hivyo tu ina mkataba na serikali kuchangia mambo kadhaa ikiwamo nusu ya mishahara ya wafanyalkazi lakini huduma zake ni ghali sana
 
Si hivyo tu ina mkataba na serikali kuchangia mambo kadhaa ikiwamo nusu ya mishahara ya wafanyalkazi lakini huduma zake ni ghali sana

Uongo utakusaidia nini ndg!? Hospital ipi ya Serikali itoayo huduma ya Macho bure!?
 
Me sijui huduma zilikuaje hapo kabla. Lkn naomba niseme kweli ccbrt kwa sasa ni jina tu limebaki. Labda kwa ulemavu mwingine lkn siyo macho. Me nimetibiwa pale tangu tar.27 aug.2013 nilikuwa na"coneal asal". Nimepata matibabu ya hovyo kabisa na gharama zao si ndogo. Unalipia tsh.8000/=km ni mgonjwa mpya na dawa zao ni ghali mno! Km nisingeshtuliwa,leo hii nisingekuwa na jicho moja. Nilipoacha pale,nilienda mnazi mmoja na kuonekana jicho limeshaharibika,wakani-rufaa kwenda muhimbili ambako nililazwa tangu tar.08 sept. Hadi tar.21 2013 nilipofanyiwa upasuaji mdogo kwa gharama ya tsh.20000/= elfu 10 ya kulazwa,na elfu 10 ya matibabu. Sikununua dawa yoyote. Zote unapewa bure pale muhimbili. Madaktari wa muhimbili nawashukuru mno kwa kuokoa jicho langu. Km dr.slaa anasoma hapa au wapambe wake,afanye marekebisho hapo ccbrt. Na hata kwa akili ya kawaida,haiwezekani madaktari 4 au 3 watibu wagonjwa wa macho zaidi ya 120 kwa siku.
 
history of CCBRT
1994: With the support of CBM, Dr. Willbrod
Slaa, MP (still on the CCBRT Board) and Geert
Vanneste founded CCBRT. Their mission was to
contribute towards poverty alleviation by making
rehabilitative services accessible and affordable
to people with disabilities. In 1994, CCBRT was
registered as a private Non-Governmental
Tanzanian Society (NGO), under the Tanzanian
Societies Act, No SO8261.

SOMA ZAIDI HAPA

Safi sana Dr. Slaa, yaani umefanya mambo makubwa hivi na wala hujidai?? Ingekuwa wengine wangetumia hii kama njia yao ya kampeni. Keep it up our president
 
Safi sana Dr. Slaa, yaani umefanya mambo makubwa hivi na wala hujidai?? Ingekuwa wengine wangetumia hii kama njia yao ya kampeni. Keep it up our president

Tenda mema ,umkopeshe Mungu,naye atakupa hekima na Ulinzi zaidi ili uwatumikie waja.wake... MaCCM hawataki jamii iutambue ukweli huuu....
 
Back
Top Bottom