CCBRT ni ya Nani?

CCBRT ni ya Nani?

Ungeweka chuki pembeni ungeujua ukweli.Ni kweli kabisa muanzilishi au muasisi wa CBRT ni Dr.W.Slaa.Pole lakini ndiyo ukweli.Anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu lakini ana mema yake pia kama binadamu.Chukua mazuri acha mabaya.Msifie pale anapotenda zuri,mshauri anapopotoka.

Chuki mbaya saana!!
 
Mkuu, kwanini unaamka asubuhi na kuwai kwenye mitandao ya kijamii kwa nia moja tu "kupinga ukweli"?

Na kwakufanya hii kazi nini hasa unafaidika maana upo hapa jf asubui mpaka giza linaingia na kazi yako ni kukera watu na kuwakatisha tamaa wapenda mabadiliko.
Ndugu Edward Sambai, naona unashangaa kwa kumjua huyu mmoja, utakuja kushangaa zaidi pale utakapokuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu waliopora madaraka ya Tanzania wanatumia zaidi ya 90% ya muda, juhudi, rasilimali nk kuupinga ukweli. Kama tumelaaniwa vile!!! Sasa mleta mada analeta jamvini hoja iliyo wazi kwa nia njema ya kutaka kujua CCBRT lakini anatokea mtu hataki kabisa kusikia huu mjadala. CCBRT anatusaidia wengi na tuna haki ya kujua.

Wow! kumbe ni Slaa...! ni hospital inayosaidia wengi na tena wenye shida mbalimbali.. hakika ukiingia CCBRT Na kuona wagonjwa wake mmmhhh! ukitoka pale... utamuogopa Mungu.
 
Ndugu Edward Sambai, naona unashangaa kwa kumjua huyu mmoja, utakuja kushangaa zaidi pale utakapokuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu waliopora madaraka ya Tanzania wanatumia zaidi ya 90% ya muda, juhudi, rasilimali nk kuupinga ukweli. Kama tumelaaniwa vile!!! Sasa mleta mada analeta jamvini hoja iliyo wazi kwa nia njema ya kutaka kujua CCBRT lakini anatokea mtu hataki kabisa kusikia huu mjadala. CCBRT anatusaidia wengi na tuna haki ya kujua.

Nakupa LIKE mkuu.. wajua kuna mengi hapa kwetu sio wote tunayafahamu.. hivyo kupitia majukwaa haya,sio vibaya yakatoa elimu kwa wanaofahamu kuwafahamisha wengine yale wayajuayo na yale wasioyajua... Tulitumie jukwaa hili kwa faida na sio ki ushabiki wa Siasa mbovu!!
 
Ndugu Edward Sambai, naona unashangaa kwa kumjua huyu mmoja, utakuja kushangaa zaidi pale utakapokuja kugundua kuwa asilimia kubwa ya watu waliopora madaraka ya Tanzania wanatumia zaidi ya 90% ya muda, juhudi, rasilimali nk kuupinga ukweli. Kama tumelaaniwa vile!!! Sasa mleta mada analeta jamvini hoja iliyo wazi kwa nia njema ya kutaka kujua CCBRT lakini anatokea mtu hataki kabisa kusikia huu mjadala. CCBRT anatusaidia wengi na tuna haki ya kujua.

Ni kweli kabisa mkuu omujubi ata mimi binafsi nilikuwa sifahamu nini hasa maana ya CCBRT na kwakweli kupitia jukwaa hili nimepata kufahamu mengi juu ya hii taasisi na kazi zake.

Tatizo mkuu hapa jamvini kuna watu wapo bila kujua nini wanachokifanya na ndio sababu saa ingine tunakutana na ukakasi kama hao kina Msalani na wenzake.
 
Sijui kwa nini CCBRT waweze kusafirisha wagonjwa wa fistula toka kote tanzania na kutibu bure lakini serikali inashindwa japo kutibu kikohozi bure
 
who we areCCBRT, a Tanzanian non-governmental organisation, was established in 1994 in response to the needs of people with disabilities in and around Dar es Salaam and the lack of accessible services to them. It comprises two community-based rehabilitation (CBR) programmes in Dar es Salaam and Moshi, a disability hospital, and an active international training programme. CCBRT is the largest indigenous provider of disability and rehabilitation services in the country, providing quality rehabilitative services to 120,000 people with disabilities and their caregivers each year. This includes people with:

  • Physical impairments (cerebral palsy, congenital deformities such as clubfoot, cleft lip/palate)
  • Visual impairments
  • Hearing impairments
  • Epilepsy
  • Obstetric fistula

More information
Who we are: CCBRT
 
Wizara ya afya makao makuu na BRELA wanaweza kuwa na majibu mazuri sana juu na nani hasa mmiliki wa CCBRT!!!!!.Kaulizieni huko mnaotaka ukweli uliotofauti na ule unaotolewa na waungwana wa hapa JF.
 
Muasisi wa CCBRT ni Dr. Wilbroad Slaa na kama sikosei kwa sasa ndiyo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi.
Hivi mkiwa pale Ufipa ndiyo uwa mnadanganya au Dr.Slaa anawadanganya kweli Dr.Slaa kawashikia akili.

Founder and director CCBRT ni Richard Moore yupo na wenzake watatu.

Dr.Slaa ni member tu wa bodi.
 
Hivi mkiwa pale Ufipa ndiyo uwa mnadanganya au Dr.Slaa anawadanganya kweli Dr.Slaa kawashikia akili.

Founder and director CCBRT ni Richard Moore yupo na wenzake watatu.

Dr.Slaa ni member tu wa bodi.

uyo ni mtanzania?au haujui utaratibu wa uanzishwaji wa NGO katika nchi ambayo si yako. Tupinge ila huo ndo ukweli, chuki za kisiasa sasa unaonekana ni upumbavu....
 
Hivi kuwa mwenyekiti wa bodi ina maana hiyo ni mali yako?

Hapa kijiweni kwetu mwenyekiti wa bodi ni mteuliwa tu
na hana masilahi binafsi hapa kijiweni.
 
Dr Willibrod Slaa anastahili kuwa Rais baada ya Jakaya Mrisho Kikwete. Mungu Ibariki Tanzania.
nampa hungera na sifa nyingi sana slaa kwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa ccbrt.
Lakini suala la urais ni zaidi ya kuanzisha NGO's yoyote ile. na sidhani wala kuamini kama slaa ni presidential material.
Nadhani tuna waTanzania wengi tu wenye vichwa vilivyotulia kuwa rais. tutimize jukumu letu kuwaweka hao.
 
Habari wana JF..
Naomba kujuzwa kupitia Jamvi letu,Mmiliki au Mwanzilishi wa CCBRT ni nani!? Kwani ni taasisi pekee inayotoa huduma mzuri na kwa gharama nafuu mno kuendana na hali halisi ya Mtamzania..
Naomba kwa anayefahamu anijuze!!

Huduma nafuu? kumuona daktari 3000? hujagusa matibabu. ukizingatia ina MoU na serikali? yaani serikali inachangia mbali na mambo mengine, nusu ya mishahara ya wafanyakazi. Anyway CCBRT ni NGO , Mkurugenzi wake Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom