CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
MD na Pharmacy zitoe hapo huwezi kupata ,ufaulu wako ni wa chini sana.
 
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
Unapiga PHARMACY, NURSING, ENVIROMENTAL HEALTH,
 
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
Hamna kozi utakayoweza kuisoma hapo.

Kozi pekee ya afya utakayoweza kuisoma ni environmental health.
 
Nipo Katika hii field ya Afya kwa Muda mrefu sana..

Maybe O level walisoma Physics,(Hii ni lazima )

kwa CO.
Kwa hiyo wataingia kama wasajiliwa wa certificate so watasoma CCM (certificate in clinical medicine) wakimaliza kama wako Private wataunga kwwnda Diploma in clinical medicine (DCM) ...

Then wataenda Kusoma MD kwa equivalent ya diplima yaani UQF 6 au NTA 6 Ndo itawapa shavu kusoma Diploma.

Kwa Nursing
Ni hivyo hivyo.....
Usiwe mbishi kiongoz sumbua kichwa chako ingia Nactevet chukua kitabu chao kisome vyuo vya afya wanatakiwa kuwa na sifa gain Kwa kila chuo
 
Nursing Yes,Clinical officer Yes.Ila Pharmacie,MD na Radiology inatakiwa awe na PCB hapa nikasemea kwa upande wa degree.Ila kwa diploma anaweza soma kozi zote hizo.
Kwa degree hawezi kusoma nursing bila physics.

Kwa diploma pia kozi pekee isiyoitaji physics ni pharmacy nyingine zote lazima awe amefaulu physics angalau alama D.
 
Diploma unapata Pharmacy. Hata Clinical Officier unasoma. Then ukimaliza unaweza kwenda kusoma MD.Kuna watu wengi ninawafahamu walisoma CBG then wakasoma Clinical Officer then MD na.sasa ni Ma Dr tena wengine wamespecialise kwenye Optamology,Surgery n.k
Clinical medicine hawezi kusoma kama hakusoma physics.
 
Hacha uongo, watu wamesoma Petro and Gas Eng China na walikuwa na HKL, wamerejea bongo na kazi wamepata
Umeona nilichoandika sijaandika kuhusu Gas au petrol akirudi Tanzania kama kasoma afya...

Na hao watu wamekudanganya wamepata kazi wapi 😅😅

Huwa kuna usajili wa aina mbili usajili wa Kwnza ni kutoka TCU waverify Elimu yako kulingna curriculum na pia Qualification ilokufanya usome kozi hizo kuna kitu kinaitwa UQF na pia NTA...
Usajili wa pili ni kutoka kwenye mabarza ya Taaluma Kwa Daktari ni MCT na hapa ndo atagonga mwamba anaweza asisajiliwe kufanya kazi kama qualification zilikuwa poor...

Sitaki Tubishane nani muongo nani mkweli ila nina miaka mingi sana on field so Im speaking from Experienxe not from Hear say...
 
Back
Top Bottom