CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

Kwa pharmacy ntakukubalia ila kwa Nurse midwife ntakukatalia Hata ukija na ithibitisho wowote..na kama unao ulete
D20CB0CB-B358-4DDB-A13F-AEBD05764E0C.jpeg

Biology, Chemistry or Physics
 
Never say never.Kuna watu waliishia la saba na leo ni ma Dr .Nothing is impossible. Kuna mtu ninamfahamu alianzia Nurse assitant,akasoma RMA ,then akasoma CO then AMO then MD.
Sasa hao si wale walio jiongeza wenyewe kwa techniques zao?

Mtoa maada anauliza kwa kufuata utaratibu wa kujiunga na vyuo vikuu. je,anaweza kupata hizo kozi alizo orodhesha?

Na siyo maswala ya kujiongeza mwenyewe binafsi.
 
Anajua na ndo maana kapost sidhani kama anaweza kupost kitu asichojua
Hizo qualifications alizo post ni za wale wanafunzi walio ishia level 5 ndo wanaenda chuo kupata diploma.

Ndo maana wameandika level 5. Ja kwenye mabano In service
 
Hizo qualifications alizo post ni za wale wanafunzi walio ishia level 5 ndo wanaenda chuo kupata diploma.

Ndo maana wameandika level 5. Ja kwenye mabano In service
Hata Qualification za fresher pia ni hizo hizo za upande wa pili wa "and" hazibadiliki na ndo maana Guildline imetenganisha sifa ya kwanza na sifa ya pili...
Sifa ya kwanza NTA L5
Na sifa ya pili ni ile iliyokuwezesha wewe kusoma NTA L5
 
Vyuo vyote vya afya, diploma ya pharmacetuical science haihitaji physics ,ndio maana diploma ya afya yenye wanafunzi wengi ni hiyo pharmaceutical science maana wengi walifeli mitihani Yao ya physics na hakuna kozi ya afya wanayoweza kuomba mbali na pharmaceutical science.
Diploma ya pharmacy unasoma bila physics. Lakini ikitokea ukataka kujiendeleza kusoma degree hata kama una GPA 5.0 bila physics ya olevel hutoboi.

Hata clinical medicine ni hivyo hivyo, vyuo hasa hivi vya private vitakupokea na utamaliza mpaka mwaka wa tatu. Kimbembe ni ukiitaka kujiendeleza na degree lazima uwe ulisoma na ulifaulu physics.
 
Sasa hao si wale walio jiongeza wenyewe kwa techniques zao?

Mtoa maada anauliza kwa kufuata utaratibu wa kujiunga na vyuo vikuu. je,anaweza kupata hizo kozi alizo orodhesha?

Na siyo maswala ya kujiongeza mwenyewe binafsi.
Wewe nawe,mtoa maada nilishamjibu.Katika mijadala kuna wachangiaji wengi ,hapa nilikuwa ninamjibu mtu mwingine.
 
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
Mkuu mimi pia ni mhitimu wa CBG mwaka huu .

According to TCU kozi ambazo zinahusiana na afya ambazo unaweza kusoma ni -Bsc in Environmental Health Science inayotolewa katika vyuo vya MUHAS,RUCU na SUZA

-Bsc in Clinical nutrition and dietetics inayotolewa katika chuo cha UDOM tu ,pamoja na

-Bsc in Food,nutrition and dietetics inayotolewa na chuo cha OUT vingne nimesahau

Nb:zote hizo zinahitaji uwe na C ya chemistry na naona wewe unayo

Hayo maswala ya kupotoshana sijui pharmacy ,nursing tuyaache jamani yalikuwaga enzi hizo .fatilia kwanza kabla ya kutoa mawazo yako
 
Tukiwashauri some Physics mnatuona wanoko. Ona sasa!!

Nenda SUA kasome udaktari wa mifugo (BVM)!

Ila kama una kichwa cha panzi usijiloge ukasome.
 
Mkuu mimi pia ni mhitimu wa CBG mwaka huu .

According to TCU kozi ambazo zinahusiana na afya ambazo unaweza kusoma ni -Bsc in Environmental Health Science inayotolewa katika vyuo vya MUHAS,RUCU na SUZA

-Bsc in Clinical nutrition and dietetics inayotolewa katika chuo cha UDOM tu ,pamoja na

-Bsc in Food,nutrition and dietetics inayotolewa na chuo cha OUT vingne nimesahau

Nb:zote hizo zinahitaji uwe na C ya chemistry na naona wewe unayo

Hayo maswala ya kupotoshana sijui pharmacy ,nursing tuyaache jamani yalikuwaga enzi hizo .fatilia kwanza kabla ya kutoa mawazo yako
Shukran broh. Wewe unachukua course gan..?
 
Back
Top Bottom