CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

mkomb

Member
Aug 31, 2023
21
31
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
 
Bila PCB hizo kozi za afya ulizozitaja bongo husomi.
 
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
Phamarcy unapewa ila sio MD mkuu
 
Nursing Yes,Clinical officer Yes.Ila Pharmacie,MD na Radiology inatakiwa awe na PCB hapa nikasemea kwa upande wa degree.Ila kwa diploma anaweza soma kozi zote hizo.
 
Key subjects kwa phamarcy ni chemistry C na biology D nyingine ni aded advatage tu.
Mkuu Mfamasia bila measurements ni sawa na mchungaji bila kusoma biblia na kutumia Jina la Yesu...

Physics Kuwepo kwenye Afya ni kwa ajili ya kuhakiki kuhusu ujuzi wa measurements na sio added advantage..

Physics ni kwa measurements
Chemistry nafikiri unajua ni kwanini...
Biology kwa Nature and Life studying na anatomy

Added advantage labda English language ila PCB ni lazima ngoja...nikutafutie TCU
 
Diploma unapata Pharmacy. Hata Clinical Officier unasoma. Then ukimaliza unaweza kwenda kusoma MD.Kuna watu wengi ninawafahamu walisoma CBG then wakasoma Clinical Officer then MD na.sasa ni Ma Dr tena wengine wamespecialise kwenye Optamology,Surgery n.k
Nipo Katika hii field ya Afya kwa Muda mrefu sana..

Maybe O level walisoma Physics,(Hii ni lazima )

kwa CO.
Kwa hiyo wataingia kama wasajiliwa wa certificate so watasoma CCM (certificate in clinical medicine) wakimaliza kama wako Private wataunga kwwnda Diploma in clinical medicine (DCM) ...

Then wataenda Kusoma MD kwa equivalent ya diplima yaani UQF 6 au NTA 6 Ndo itawapa shavu kusoma Diploma.

Kwa Nursing
Ni hivyo hivyo.....
 
Back
Top Bottom