boniuso
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 948
- 1,339
Nursing utasoma hata pharmacy pia....... ila md na radiology hapanaHabari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.
Naomba kuwasilisha