CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

Diploma unapata Pharmacy. Hata Clinical Officier unasoma. Then ukimaliza unaweza kwenda kusoma MD.Kuna watu wengi ninawafahamu walisoma CBG then wakasoma Clinical Officer then MD na.sasa ni Ma Dr tena wengine wamespecialise kwenye Optamology,Surgery n.k
Kipindi cha nyuma walikuwa wanasoma kweli but nakumbuka Ndalichako alipokuwa waziri wa Elimu alisema hakuna course ya afya yenye geography. Je kwa sasa anaweza kusoma kweli?
 
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
Atumie cha form 4 kuombea hoo kozi ulizotaja ila kwa level ya diploma nadhanj
 
Diploma unapata Pharmacy. Hata Clinical Officier unasoma. Then ukimaliza unaweza kwenda kusoma MD.Kuna watu wengi ninawafahamu walisoma CBG then wakasoma Clinical Officer then MD na.sasa ni Ma Dr tena wengine wamespecialise kwenye Optamology,Surgery n.k
Hizi ni baadhi ya Course za Afya nionyeshe hiyo Diploma bila Physcs
Screenshot_20231023-163018.png

Screenshot_20231023-163044.png
 
Mdogo wangu tangu mhe ndalichako alipokuwa waziri wa elimu mfumo wa elimu ulibadilika sana sio ngazi ya primary secondary o level ama a level wala si chuo mambo yamebadilika mno.

kifupi ni kwamba hakuna kozi ya afya ambayo utasoma kama hauna somo la physics katika mchepuo wako.hii ni baada ya mhe ndalichako kuingia kwenye hii wizara.sio certificate sio diploma sio bachelor.

kwa msaada tu soma bach of general science hapo UDSM.ni nzuri pia, tofauti na unapopakwepa kwenye education
 
Physics ya advance iliyowekwa hapo ya o,levo ama a,levo
Kwa kusoma Diploma Physics inatakiwa ya Olevel...
Na kwa kusoma Bachelor Physics ni Alevel..

Kuna CBG walidrop physics sasa sijajua kama na yeye alifrop physics Olevel...
Kuna uncle wangu alisoma CBG ila alidrop Physcs O level
 
Wale wa physics na kemia wanachagua moja wapo noma sana hiyo
 
Back
Top Bottom