CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

Unapomfosi dogo aende kozi flan unamuathiri kisaikolojia je unaweza kumtengenezea mazingira ya ajira hapo baadae ,unaweza kumpa mtaji akajiajiri Dogo atakuja kukulaumu maisha yake yote
 
252B746F-FB80-4AEA-A41C-F307C02BE357.jpeg


FF6CE054-9E8E-4FDF-AA6A-583CABB1E137.jpeg


DR Mambo AMP
 
Yeah Nilimwambia kipindi hicho kuwa kama umechagua science soma science yote sio uanze kudrop...
Akasema physics ngumu ikabidi nimwache tu...
Ila bila physics Sayansi yote ni bure
Hawajui tu physics is the mother of all science
 
Hii nimeona i think ni chuo kimoja au viwili wana hii Details
Kapitie vyuo vyote ujilizishe!

pia waliopo kazini kusoma unesi/ukunga/uhuguzi wanaitaji Kemia na bailojia na uzoefu wa miaka miwili pamoja na barua ya muajiri

Hawaitaji kuwa na ufaulu katika somo la fizikia...!

Kajielimishe

Kwa kozi za Famasia na Medical Lab... na zile zingine health sijui nini hazina uhitaji wa Fizikia ili uweze kuzisoma
 
Umeona nilichoandika sijaandika kuhusu Gas au petrol akirudi Tanzania kama kasoma afya...

Na hao watu wamekudanganya wamepata kazi wapi 😅😅

Huwa kuna usajili wa aina mbili usajili wa Kwnza ni kutoka TCU waverify Elimu yako kulingna curriculum na pia Qualification ilokufanya usome kozi hizo kuna kitu kinaitwa UQF na pia NTA...
Usajili wa pili ni kutoka kwenye mabarza ya Taaluma Kwa Daktari ni MCT na hapa ndo atagonga mwamba anaweza asisajiliwe kufanya kazi kama qualification zilikuwa poor...

Sitaki Tubishane nani muongo nani mkweli ila nina miaka mingi sana on field so Im speaking from Experienxe not from Hear say...
115FF4FB-AD13-4613-9EA0-B7889AE88F4D.jpeg


Knowledge and skills

Unaweza kwenda kusoma Act na Regulations zake labda unaweza kupata mengi zaidi
 
Kapitie vyuo vyote ujilizishe!

pia waliopo kazini kusoma unesi/ukunga/uhuguzi wanaitaji Kemia na bailojia na uzoefu wa miaka miwili pamoja na barua ya muajiri

Hawaitaji kuwa na ufaulu katika somo la fizikia...!

Kajielimishe

Kwa kozi za Famasia na Medical Lab... na zile zingine health sijui nini hazina uhitaji wa Fizikia ili uweze kuzisoma
Kwa pharmacy ntakukubalia ila kwa Nurse midwife ntakukatalia Hata ukija na ithibitisho wowote..na kama unao ulete
 
View attachment 2790690

Knowledge and skills

Unaweza kwenda kusoma Act na Regulations zake labda unaweza kupata mengi zaidi
Sijui kama umeelewa ulichokiandika na kilichopo kwenye hiyo Sheria...Hiyo sheria inahusu Medical na Dental proffesional na sio wanafunzi wanaomaliza na ndo maana mzigo kuhusu evaluation huwa ni wa TCU ila wao wanapokea barua ya Verification na Evaluation of knowledge and skills from TCU...

Unajua who evaluate skills n knowledge kwa Tanzania unajua hiyo ni kazi ya nani..

TCU Kuna Department inashughulika na Mifumo hiyo inaitwa FAAS (foreign Awards Assesment System)

Baada ya kupokea Evaluation ya utambuzi ndo mtu hupeleka cheti kwenda MCT na MCT ndo humtambua huyo mtu kwa Evaluation watakazoambiwa na TCU..

Na ndo maana kuna Course Mpaka leo Bado watu wanalalamika Tanzania haipo inaitwa Bachelor of science in clinical medicine ,surgery and community health....Baadhi ya nchi hutolewa kwa miaka minne mpaka sita!

Lakini baada ya kuja Tanzania TCU wakai evaluate kama advance Diploma ya clinical Medicine na sio Bachelor unajua kwanini kwa sababu mifumo ya skills yake na Currucullum yake inaendana na course ya Tanzania ambayo ni ya miaka miwili ya advance diploma..

Hizo sheria unazotoa nazijua na sina hja ya kugoogle ina nisome naweza nikakutafasiria pia ukitaka ..

Nimekuambia hiyo field naijua vizuri so karibu kwa chochote uulize kama
 
Nipo Katika hii field ya Afya kwa Muda mrefu sana..

Maybe O level walisoma Physics,(Hii ni lazima )

kwa CO.
Kwa hiyo wataingia kama wasajiliwa wa certificate so watasoma CCM (certificate in clinical medicine) wakimaliza kama wako Private wataunga kwwnda Diploma in clinical medicine (DCM) ...

Then wataenda Kusoma MD kwa equivalent ya diplima yaani UQF 6 au NTA 6 Ndo itawapa shavu kusoma Diploma.

Kwa Nursing
Ni hivyo hivyo.....
Acha hizo mkuu...unajua ni wangapi unawatoa relini kwa maandishi haya?(sijui ni kutojua aua hauko Updated?)

Unaju kozi za afya Diploma requirement ni O-level (yale masomo ya science) na huyu Diploma akiwa amesoma na Advance inakuwa added advantege towards kugombania nafasi. (Sifa atakuwa nazo za kutoka O-level, pia hiyo CBG ataiambatanisha kumuongezea sifa).

Mkuu kama haupo Updated usitumie maneno ya "Niko katika hii field ya Afya kwa muda mrefu sana" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] what a disappointed!
 
Diploma unapata Pharmacy. Hata Clinical Officier unasoma. Then ukimaliza unaweza kwenda kusoma MD.Kuna watu wengi ninawafahamu walisoma CBG then wakasoma Clinical Officer then MD na.sasa ni Ma Dr tena wengine wamespecialise kwenye Optamology,Surgery n.k
Uko sahihi mkuu.
Mtoa mada akusome vizuri, pia anaweza kuangalia TCU QUIDEBOOK au kuingia websites za vyuo akajionea mwenyewe vizuri.
 
Back
Top Bottom