CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

CBG anaweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private?

Hizi ni baadhi ya Course za Afya nionyeshe hiyo Diploma bila Physcs
View attachment 2790329
View attachment 2790328
Sasa mkuu si unaona mwenyewe, hizo Diploma wameelezea kujiunga kwake kwa matokeo ya O-level(ila pia hiyo CBG itamsaidia kwenye Competition).

So, anaweza kuomba kozi za Afya kwa urahisi za Diploma.

Pia mtoa mada aombe Degree ya Environmental health, ajaribu na Nursing.
 
Acha hizo mkuu...unajua ni wangapi unawatoa relini kwa maandishi haya?(sijui ni kutojua aua hauko Updated?)

Unaju kozi za afya Diploma requirement ni O-level (yale masomo ya science) na huyu Diploma akiwa amesoma na Advance inakuwa added advantege towards kugombania nafasi. (Sifa atakuwa nazo za kutoka O-level, pia hiyo CBG ataiambatanisha kumuongezea sifa).

Mkuu kama haupo Updated usitumie maneno ya "Niko katika hii field ya Afya kwa muda mrefu sana" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] what a disappointed!
Umeelewa nilichoandika?
Nilichoeleza ndo exactly ulichosema kuwa Ukiwa umesoma Olevel physics umaruhusiwa kusoma hizo course na nikaelezea kwa mlengo upi..

Ambacho nilikuwa namuelewesha huyo jamaa..
Ni kuhusu Kwamba Physics haihitajiki kwa Nurses midwife iwe ya olevel au advam na ndo nilichojibu..

Fatilia kwanza mjadala kuanzia mwanzo bwana mdogo kuliko kurukia Post moja na kuitafsiri
 
Sasa mkuu si unaona mwenyewe, hizo Diploma wameelezea kujiunga kwake kwa matokeo ya O-level(ila pia hiyo CBG itamsaidia kwenye Competition).

So, anaweza kuomba kozi za Afya kwa urahisi za Diploma.

Pia mtoa mada aombe Degree ya Environmental health, ajaribu na Nursing.
Yeah kam Olevel alisoma Physics kwake inakuwa poa sana na Atatumia cheti cha Olevel
 
Hii nimeona i think ni chuo kimoja au viwili wana hii Details
Vyuo vyote vya afya, diploma ya pharmacetuical science haihitaji physics ,ndio maana diploma ya afya yenye wanafunzi wengi ni hiyo pharmaceutical science maana wengi walifeli mitihani Yao ya physics na hakuna kozi ya afya wanayoweza kuomba mbali na pharmaceutical science.
 
Pharmacy huwezi kusoma bila kusoma Physics hata diploma tu hupati
Soma hapo mkuu ""hata diploma tu hapati"!?!??!??
Diploma anapata chaaap tu, atatumia matokeo ya O-level...pia ataambatanisha na matokeo ya A-level hayo ya CBG (na mambo yataenda safi)
 
Soma hapo mkuu ""hata diploma tu hapati"!?!??!??
Diploma anapata chaaap tu, atatumia matokeo ya O-level...pia ataambatanisha na matokeo ya A-level hayo ya CBG (na mambo yataenda safi)
Matokeao yake ya Olevel unayo? Ameyatoa hapa? Una uhakika Olevel alisoma Physics nimeandika kwa kuwa bila physics huwezi kupata Kozi ya afya iwe physics ya Olvel au advance...
 
Sasa mkuu si unaona mwenyewe, hizo Diploma wameelezea kujiunga kwake kwa matokeo ya O-level(ila pia hiyo CBG itamsaidia kwenye Competition).

So, anaweza kuomba kozi za Afya kwa urahisi za Diploma.

Pia mtoa mada aombe Degree ya Environmental health, ajaribu na Nursing.
Nursing hapati.
 
Na wewe bwana,mtu usome A level CBG halafu O level uwe haukusoma Physics ?Mwenzetu haujasoma Tanzania nini?
Mkuu ninao uthibitisho na ninawafahamu wengi na ukitaka nitapost na matokeo yao ya Olevel walisoma science ambayo haina physics ila inamasomo mengine
 
Mkuu ninao uthibitisho na ninawafahamu wengi na ukitaka nitapost na matokeo yao ya Olevel walisoma science ambayo haina physics ila inamasomo mengine
Science gani hiyo isiyokuwa na Physics. Basi tabu kweli kweli.
 
Habari zenu Wana jukwaa nimatumaini yangu wote niwazima mimi nimemalizaa kidato Cha sita mwaka huu komb ya CBG nikiwa na ufaulu wa biology-C,Chemistry-C na Geography-C , ninampango wa kuaply chuo mwakani. Je, kwa ufaulu huo naweza kusoma course za afya katika vyuo vya Private course kama Radiology, Pharmacy, nursing, MD, n.k.

Naomba kuwasilisha
mwaka jana vigezo vya nactvet vya kusoma phermacy ilikua ni chemistry na biology tu hakuna physics fuatilia
 
Kama hakusoma Phys Olevel hawz soma afya .
Never say never.Kuna watu waliishia la saba na leo ni ma Dr .Nothing is impossible. Kuna mtu ninamfahamu alianzia Nurse assitant,akasoma RMA ,then akasoma CO then AMO then MD.
 
Nipe mfano,mimi ni Thomaso.Mchepuo wa science bila Physics jaman
Nimefanya Random selection ya shule hapa nimechukua matokeo ya shule moja huko Na ntakuonyesha kutumia shule hiyo matokeo ya mwkaa 2016...

Najua kwa watu tuliosoma zamani hatuwez kuamini ila ndio elimu yetu tena ilipofikia unaweza ukadrop physics na ukawa science...

Sasa nataka Ufanye close looks at the followings Numbers kwenye mkek huu ....S3094/0032 , S3094/0046, S3094/0049 ,S3094/0053 nk.

Screenshot_20231024-000948_2.jpg
 
Never say never.Kuna watu waliishia la saba na leo ni ma Dr .Nothing is impossible. Kuna mtu ninamfahamu alianzia Nurse assitant,akasoma RMA ,then akasoma CO then AMO then MD.
Yeah wapo sikatai kuna jamaa niliwahi kukutana naye ana history kama ulosema ila yeye kwa sasa ni specialist ni gyna
 
Back
Top Bottom