Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 14,917
- 34,453
Siku izi mambo yane rahisishwa wengi tuna onana status tu una view na view ..habari ime isha sio lazma tuchart kila mda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wakina dada navaa na earphone kabisa hata kama anauliza kitu nikijibu tu napiga kimyaHata ukikaa na mdada?
Friends for keeps ?
I got uNdio mkuu Diaspora USA.
Kuna urafiki wa kudumu(moyoni) na urafiki wa kufahamiana tu. Mara nyingi wale tunaosema ni marafiki zetu ni watu tunaojuana tu, tena sio hata kwa undani sana.
Ukiona tuna anza kuuchambua urafiki hivi na wengi wakikiri kutoweza kudumu kwenye urafiki au kutohitaji marafiki kabisa ni dalili tosha za mabadiliko makubwa katika mahusiano ya binadamu ambapo inatabiriwa kuwa mahusiano ya kudumu yatapungua sana au kukoma kabisa.
Leo ni urafiki. Kesho itakuwa ndoa na familia na baada ya hapo kila mtu atakuwa ‘anaruka mwenyewe’(chambilecho JD).
Hivyo basi ukitaka urafiki wa kudumu(for keeps) inabidi uji-condition.
You have to commit yourself to learn to make, keep and believe in friends.
And it should be true friendship. Not the kind made out feelings of insecurity or Maslow’s “the need to love and be loved” because once those feelings or needs are gone so would the friendship.
I believe in the rationality of man so if I want someone to be my friend I tell them so and the terms of the friendship thereof.
But no monkey business intended mkuu Diaspora.
If the theory cannot fit the fact then change the fact.Hello Guys,
I have a hard time making friends. I am not really shy or anything but it's really hard to me to stay in touch with people. It's like I quickly become bored with them. Na sio kwamba I want to be alone and enjoy my own company, Nah! I am pretty sociable and good at talking to "new" people and getting to know them, we would eat together, travel, watch movies and go out to event, party kwa kifupi kufurahia maisha but keeping them is next to impossible.
Baada ya hapo mawasiliano yanakufa kama vile hatujawahi kujuana kabla. I effort a lot but I usualy endup becaming unmotivated to even reply to people. Naweza nikaona text massage or emails ila I'll ignore it for days or a month. I really hate feeling obligated to talk to talk to people constantly unless kuna vitu muhimu ila sio "umeshindaje dear, jamani nimekumiss, shemeji ajambo? enhee nipe story, it gets annoying .
Nimejaribu kubadilika ila najikuta hata nikianza kujibu text messages naishia tuu "ha ha ha okay, fine, good, me too". Yani nakosa story za kupiga.
I had my old friends , from when I went to collage. Ila kama kawaida I am such a bad conversionalist. I Sometimes go a month or so without even massaging each other, and we just forgive eachother whenether we do see each other. Baada ya hapo tukiachana tuu najikuta siwezi tena kutuma tuma text, au kuwapigia simu, labda tuwe na kitu kingine cha kujadili mbali na mambo ya urafiki.
Nani mwingine anateseka na hii hali?
Guys is it okay not to have friends?
How do you maintain friends?
And people who don't have friends, Why don't you have friends? Is this what you want?.
G'day.
Woow karibuI wish nipate rafik wa kufanya nae kikundi cha maombi
Your welcome here anytime Paula. Mi Casa es su Casa mamacita!Eti kufungana mota za kudanga. I laughed so hard.
Asante kwa ushauri Dee..
Yaani jitu kama wewe unakuta kabisa una mpenzi eti. Anakuita "my evrisingi"Ww unavyoonekanika tuu una element za u slay queen mana una dram sana ww una hata jinsi ya uandishi wako kingereza kiswahili umoumo andika lugha moja
..
Sent using Jamii Forums mobile app









.


Mimi naona hii ni kawaida na ni zuri wala haina tatizo.Primary nilikuwa na best friend mmoja tu,O level nilikuwa na best friend mmoja tu,A level nilikuwa na best friend mmoja tu ambaye nilidumu nae mpaka university tulisoma chuo kimoja kozi tofauti,duniani huku nina best friend mmoja tu ambae pia amekuwa my business partner.
Waungwana Mimi nipo kundi gani,yaani siwezi kuwa na multiple friends, watu wengine nashirikiana nao if and only it's necessary.
Ni kweli hamna rafiki mzuri na wakudumu kama mume/mke au watoto.Ukiolewa mumeo atakua rafiki yako sanaa
Sasa Below 40 mbona nina mpango wa kukutafuta siku moja tupige story mbili tatu. Inamaana utakaa kimya?Tena wakina dada navaa na earphone kabisa hata kama anauliza kitu nikijibu tu napiga kimya
Ooops, but why?