Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

Kupanga ni Kuchagua mkuu. Sina a straight answer on how you can do it. I'm not a psychologist. Ila what I can tell you is kuna impacts kubwa Sana za kukosa marafiki. Au kuwa socially inactive. Japo wengi tunajifarijigi tu hapa.

Don't give up. Kama unaona huwezi Tafuta psychologist akusaidie.
Sawa mkuu
 
Nimejiona kama ndio mimi.
Maisha yanaenda kasi sana na mabadiliko ni mengi,.Kadri umri unavyosonga na tabia zinabadilika.Siku hizi sipendi sana kusocialize na marafiki wa zamani,naona kama tunachorana.
 
Hello Guys,

I have a hard time making friends. I am not really shy or anything but it's really hard to me to stay in touch with people. It's like I quickly become bored with them. Na sio kwamba I want to be alone and enjoy my own company, Nah! I am pretty sociable and good at talking to "new" people and getting to know them, we would eat together, travel, watch movies and go out to event, party kwa kifupi kufurahia maisha but keeping them is next to impossible.

Baada ya hapo mawasiliano yanakufa kama vile hatujawahi kujuana kabla. I effort a lot but I usualy endup becaming unmotivated to even reply to people. Naweza nikaona text massage or emails ila I'll ignore it for days or a month. I really hate feeling obligated to talk to talk to people constantly unless kuna vitu muhimu ila sio "umeshindaje dear, jamani nimekumiss, shemeji ajambo? enhee nipe story, it gets annoying .

Nimejaribu kubadilika ila najikuta hata nikianza kujibu text messages naishia tuu "ha ha ha okay, fine, good, me too". Yani nakosa story za kupiga.

I had my old friends , from when I went to collage. Ila kama kawaida I am such a bad conversionalist. I Sometimes go a month or so without even massaging each other, and we just forgive eachother whenether we do see each other. Baada ya hapo tukiachana tuu najikuta siwezi tena kutuma tuma text, au kuwapigia simu, labda tuwe na kitu kingine cha kujadili mbali na mambo ya urafiki.

Nani mwingine anateseka na hii hali?

Guys is it okay not to have friends?

How do you maintain friends?

And people who don't have friends, Why don't you have friends? Is this what you want?.

G'day.
,t,t,t,t,t,t,
 
Huna tatzo. Hzo n tabia za kawaida kwa aina ya watu wanaoitwa "INTROVERTS". Just google what is introverts and u will know more. Hata humu kuna uzi unaelezea introvert na sifa zao. Am among of introverts.
 
Hello Guys,

I have a hard time making friends. I am not really shy or anything but it's really hard to me to stay in touch with people. It's like I quickly become bored with them. Na sio kwamba I want to be alone and enjoy my own company, Nah! I am pretty sociable and good at talking to "new" people and getting to know them, we would eat together, travel, watch movies and go out to event, party kwa kifupi kufurahia maisha but keeping them is next to impossible.

Baada ya hapo mawasiliano yanakufa kama vile hatujawahi kujuana kabla. I effort a lot but I usualy endup becaming unmotivated to even reply to people. Naweza nikaona text massage or emails ila I'll ignore it for days or a month. I really hate feeling obligated to talk to talk to people constantly unless kuna vitu muhimu ila sio "umeshindaje dear, jamani nimekumiss, shemeji ajambo? enhee nipe story, it gets annoying .

Nimejaribu kubadilika ila najikuta hata nikianza kujibu text messages naishia tuu "ha ha ha okay, fine, good, me too". Yani nakosa story za kupiga.

I had my old friends , from when I went to collage. Ila kama kawaida I am such a bad conversionalist. I Sometimes go a month or so without even massaging each other, and we just forgive eachother whenether we do see each other. Baada ya hapo tukiachana tuu najikuta siwezi tena kutuma tuma text, au kuwapigia simu, labda tuwe na kitu kingine cha kujadili mbali na mambo ya urafiki.

Nani mwingine anateseka na hii hali?

Guys is it okay not to have friends?

How do you maintain friends?

And people who don't have friends, Why don't you have friends? Is this what you want?.

G'day.

this is so me
 
Mimi nna hii shida pia nilikuwa na marafiki zaidi ya 10 ila mpaka sasa hamna hata mmoja, kila nikijitahd nashindwa siku mbili tu nachoka kuendeleza mawasiliano, nilishazoea aina hii ya maisha mpk sasa japokuwa siipendi.
 
Umesema collage???

umesema whenether????

Aiseeh
Acknowledgment!
Okay, I dearly apologize for my inadequate level of my English proficiency as it's not my mother tongue.

I actually want to know when I am making mistakes. So thank you Grammar Nazi.
 
Similar Discussions

33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom