Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

Wengi tunashindwa kutofautisha kufahamiana na urafiki. Ndio maana mtu anakwambia naomba tuwe marafiki.
Kwangu inakua ngumu sana kwa sababu urafiki ni kitu kinatokea kutokana na vitu au mambo yanayoweza kuwaleta pamoja.

Kiranga ameweka vizuri sana, kuwa rafiki yako mzuri wewe mwenyewe kwanza. Hapo haitakusumbua kwamba una rafiki mwingine au hauna kwa sababu tayari unae rafiki wa kudumu ambae ni wewe binafsi.

Unaweza ukawa na rafiki sio lazima uwasiliane nae au uchati nae kila wakati kumaanisha urafiki wenu upo kwenye kiwango bora, lakini ni pale ambapo ibapobidi au panapokua na uhitaji.

Ikumbukwe pia kuwa rafiki kuna gharama zake, inahitaji trust, muda na kujali. Hii sio kila mtu anaweza, ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa na rafiki.

Kwa upande wangu naweza kuelewana na mtu kwa urahisi na haraka sana lakini haimaanishi turakua marafiki, inachukua muda sana na hii ni kwa vile nikishakua rafiki na mtu, mara nyingi inadumu sana. Nna rafiki nimesoma nae O level, tukaenda A level na hadi leo tuko marafiki na imekua kama ndugu lakini hatuwasiliani au kuonana mara kwa mara.

Rafiki mwingine niliyempenda ni kwa kuwa sio mnafiki. Ananiambia ukweli inapobidi kitu ambacho wengi wetu ni wanafiki, atakupamba au kukwambia vitu unavyopenda kusikia.

Mwisho wa siku usijilazimishe sana kufanya mambo ili kupata au kudumisha urafiki, acha vile ulivyo ndio iwe sababu ya mtu kukufaham na ijenge msingi wa urafiki wenu.

Bottom line, "Be your own best friend" (Kiranga, 2020) .
Asante The Monk.
 
If the theory cannot fit the fact then change the fact.

Nilichokiona, if I'm to flip your story, wewe uko vizuri labda wafurahia zaidi mazungumzo ya ana kwa ana kuliko phone conversation, kama ni hivyo inapaswa whoever want to befriended with you alijue hilo kwamba ndo njia ya pekee ya kudumisha urafiki na wewe.

Maana ukikutana na rafiki mkiwa na quality time convo yaenda vizuri, mkiachana kwenye phone convo haiendi poa.

Mawasiliano hujenga uhusiano, tatizo ni preferance of mode of communication...
You said it all BISECKO.

Mawasiliano ya simu yananitia sana uvivu.
 
Ww unavyoonekanika tuu una element za u slay queen mana una dram sana ww una hata jinsi ya uandishi wako kingereza kiswahili umoumo andika lugha moja
..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata wewe umechanganya lugha?Better to keep your mouth shut and be presumed a fool than to open it and remove all doubt.

Unanirekebisha wakati wewe unafanya kitu hiko hiko? Walijisemea waswahili kwamba "usitoe kibanzi kwenye jicho la mtu wakati kwako kuna boriti".

Btw, Huu ushauri unaweza kuwa ni mzuri lakini namna ulivouwasilisha ni kishamba sana. Kama vile unalazimisha kuni-attack yaani kama vile unanisuta.
 
Yaani jitu kama wewe unakuta kabisa una mpenzi eti. Anakuita "my evrisingi"

Unamwambia mtoa mada kwamba
""" wewe unaonekana una ELEMENT za u SLAY QUEEN maana una DRAMA sana".

Kama wewe sio kilaz hii ni lugha gani umeandika? Kiswahili? Kingereza?
Au umechanganya lugha?

Kingereza hakikwepeki unaweza pia ukaamua kujifunza la sivyo wivu wa kike utakuua wewe. Unatamani sana ujue kingereza ila kuonea wivu wanaoandika kingereza hapakufanyi ujue kingereza.
Halafu ni drama na sio DRAM.


Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi, kingereza hakikwepeki.
 
Hello Guys,

I have a hard time making friends. I am not really shy or anything but it's really hard to me to stay in touch with people. It's like I quickly become bored with them. Na sio kwamba I want to be alone and enjoy my own company, Nah! I am pretty sociable and good at talking to "new" people and getting to know them, we would eat together, travel, watch movies and go out to event, party kwa kifupi kufurahia maisha but keeping them is next to impossible.

Baada ya hapo mawasiliano yanakufa kama vile hatujawahi kujuana kabla. I effort a lot but I usualy endup becaming unmotivated to even reply to people. Naweza nikaona text massage or emails ila I'll ignore it for days or a month. I really hate feeling obligated to talk to talk to people constantly unless kuna vitu muhimu ila sio "umeshindaje dear, jamani nimekumiss, shemeji ajambo? enhee nipe story, it gets annoying .

Nimejaribu kubadilika ila najikuta hata nikianza kujibu text messages naishia tuu "ha ha ha okay, fine, good, me too". Yani nakosa story za kupiga.

I had my old friends , from when I went to collage. Ila kama kawaida I am such a bad conversionalist. I Sometimes go a month or so without even massaging each other, and we just forgive eachother whenether we do see each other. Baada ya hapo tukiachana tuu najikuta siwezi tena kutuma tuma text, au kuwapigia simu, labda tuwe na kitu kingine cha kujadili mbali na mambo ya urafiki.

Nani mwingine anateseka na hii hali?

Guys is it okay not to have friends?

How do you maintain friends?

And people who don't have friends, Why don't you have friends? Is this what you want?.

G'day.
najiona mimi ktk hizo lines zako.
 
Sasa Below 40 mbona nina mpango wa kukutafuta siku moja tupige story mbili tatu. Inamaana utakaa kimya?
No,ukianzisha story ambayo ntakua interest nayo tutapiga sana story.Tatizo langu mimi inakuaga issue sana kukutana na watu wenye haiba kama yangu.
 
Nadhani ni personality ya mtu tu. Kuna watu Wengi hatuna marafiki kabisa, yaani unaozeana na mtu kutokana na mazingira ya kuwa na ukaribu unaowaleta pamoja aidha kazi, shule n.k.

Unakuta mtu kazini/chuo mnaukaribu lkn nje ya mazingira ya hayo, hamna mazoea wala hamtafutani kabisa. Nadhani ni rahisi kuwa na marafiki ukiwa shule/chuo lakini ni ngumu ukiwa bize na pia ukiwa na familia...

Japo mara nyingi usipokuwa na marafiki unakuwa tu sawa sawa na mambo yanaenda kuna muda unatamani marafiki, maranyingine unakitu kimetokea katika maisha yako , kama social issue, deal, kazini n.k unakuwa huna mtu wa kumshirikisha kwa kuwa hauna mtu wa karibu kama rafiki....
Pia unakosa kampani kwenye kupati nk
 
Suriya asante kwa mchango wako.

Hivi tukiwa marafiki inabidi nikuambie mambo/siri zangu nisikufiche?
Hamna njia nyingine ya kuwa rafiki bila kuambiana hivi vitu?

This point is well noted " Pia naamin Mungu akikupa utulivu wa peke yako kuna kitu anataka ujifunze." Nahisi nipo hapa.

Be blessed.

Miye nimegawa marafiki kuendana na tabia zao na shida zangu.
Mfano nikiboreka ntaenda/ ntamtafuta yule ambaye hatuzungumzii shida yeye ni bata tuuu, nikiwa na yangu ya moyoni yamenijaa ntaenda kwa yule ambaye huwa tunaongea masiri yetu makubwa makubwa.
 
Great thread.

I feel you Paula. I just can't imagine how hard that must be on you. It is very - in your own words - frustrating.

Truth is, nobody here can give you a satisfactory answer. Most of us will just be sharing our sentiments and opinions over the matter. Or I would say, many contributors will only try to relate and speculate.

Do what you feel like doing. That is your make-up. Bothering to fit-in is doing injustice to yourself.

One more thing: you are exceptionally smart. How old are you?
IMG_20200204_003748.jpeg
 
Nadhani ni personality ya mtu tu. Kuna watu Wengi hatuna marafiki kabisa, yaani unaozeana na mtu kutokana na mazingira ya kuwa na ukaribu unaowaleta pamoja aidha kazi, shule n.k.

Unakuta mtu kazini/chuo mnaukaribu lkn nje ya mazingira ya hayo, hamna mazoea wala hamtafutani kabisa. Nadhani ni rahisi kuwa na marafiki ukiwa shule/chuo lakini ni ngumu ukiwa bize na pia ukiwa na familia...

Japo mara nyingi usipokuwa na marafiki unakuwa tu sawa sawa na mambo yanaenda kuna muda unatamani marafiki, maranyingine unakitu kimetokea katika maisha yako , kama social issue, deal, kazini n.k unakuwa huna mtu wa kumshirikisha kwa kuwa hauna mtu wa karibu kama rafiki....
Pia unakosa kampani kwenye kupati nk
Nimekuelewa sana Wehoodie.
 
Great thread.

I feel you Paula. I just can't imagine how hard that must be on you. It is very - in your own words - frustrating.

Truth is, nobody here can give you a satisfactory answer. Most of us will just be sharing our sentiments and opinions over the matter. Or I would say, many contributors will only try to relate and speculate.

Do what you feel like doing. That is your make-up. Bothering to fit-in is doing injustice to yourself.

One more thing: you are exceptionally smart. How old are you? View attachment 1380363

Thank you for taking time to advise me Interest.
"you are exceptionally smart. How old are you?". Aww, I'm touched beyond words, 28.
Hizo ni zawadi zangu za siku ya wanawake? Au umeniringishia tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom