Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

I got you - Nimekupata, au nimekusoma (hii ni slang nadhani).
I got this - Nimeielewa hii (sina uhakika sana kwenye hii).
Sasa zote nilizosema nimekuelewa hebu sahau kuhusu "nimekuelewa " weka "I got you". Zinakuwa kama zina sound tofauti?
 
Mbona hata wewe umechanganya lugha?Better to keep your mouth shut and be presumed a fool than to open it and remove all doubt.

Unanirekebisha wakati wewe unafanya kitu hiko hiko? Walijisemea waswahili kwamba "usitoe kibanzi kwenye jicho la mtu wakati kwako kuna boriti".

Btw, Huu ushauri unaweza kuwa ni mzuri lakini namna ulivouwasilisha ni kishamba sana. Kama vile unalazimisha kuni-attack yaani kama vile unanisuta.
Msamehe Paula haina haja ya kujibizana na mtu ukimwelewa nia na dhamira yake kwako ni ipi?

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Nianze kwa kuwasalimu wachagiaji wote waliotangalia.
Pili mtaniwia radhi kwa mwandiko wangu.
Kwangu Mimi rafiki ni yule mtu ambaye anakuelewa na yupo tayari kukueleza ukweli bila ya kupepesa macho pale ambapo unakuwa umekosea. Hivyo kama unakuwa na rafiki jiulize je? Huyu niliye nae ni mtu sahihi kwangu.
Kuwa na rafiki ni muhimu sana maana kuna muda unakuwa na changamoto ambazo unatamani kama ungelikuwa na mtu unaemwamini umweleze walau akushauri,
Hivyo tujitahidi kuwa na watu wanaotuelewa katika urafiki wetu

Mwandiko wako unasomeka vizuri A man..
Nikiwa naandika hii mada nilikumbuka kitu (unakijua).
Asante kwa ushauri, nitajitahidi.
 
Mwandiko wako unasomeka vizuri A man..
Nikiwa naandika hii mada nilikumbuka kitu (unakijua).
Asante kwa ushauri, nitajitahidi.
Nakumbuka P ila usijali kubwa katika yote nikupata rafiki atakae kuelawa na kukuheahimu, kujali na kuthamini mchango wako kama wake maana naamini out of site is not out of mind kikubwa ni nidhamu na uaminifu wa dhati katika urafiki wenu

$ There's clear light at the end of the Tannel $
 
Kutesekaaa..??

That is the battle of trying not to be yourself.

That's Equal to slavery.

Ukwel ulio uchi ni kuwa, we do not have potentials of being good at everything.

Appreciating what you are not good at ni bonge la step Ahead, kwa sbb kati ya mambo yanayorudisha watu nyuma ni kubeba mizigo tusiyoiweza.

Hata katika biashara we believe the best strategy inapatikana kwa kutambua what you are not good at. The same goes to personal life ili uishi fulfilling life.

Time is so limited, tufocus in discovering our potentials, releasing and maximizing them.

Is it okay to have no friends?

Big Yes, ukiona kitu hakijawa emphasized na social norms, sheria and even the bible, kukikumbatia ni kujipendekeza tu.

"Tupendane tu".. na hii haina uhusiano na urafiki kabisa.

Niishie hapa.

I find this 57 seconds video clip more relevant, maana imejibu maswali ya msingi ya mtoa mada...

LINK:

A Summary kwa JF free basicers 😀..

Roman 13 says,

Owe no person anything, except to love them.

The only thing you really owe people, is to love them.

But if you think you have to keep everyone happy,

Those words Like... I've got to keep this one cheered up, I got a call this one every day or they'll get upset, I got to play up to my co-worker or they won't be my friend".

You are carrying a debt that you don't owe.
 
Nakumbuka P ila usijali kubwa katika yote nikupata rafiki atakae kuelawa na kukuheahimu, kujali na kuthamini mchango wako kama wake maana naamini out of site is not out of mind kikubwa ni nidhamu na uaminifu wa dhati katika urafiki wenu

$ There's clear light at the end of the Tannel $
Upo sahihi A man..
 
Thank you for taking time to advise me Interest.
"you are exceptionally smart. How old are you?". Aww, I'm touched beyond words, 28.
Hizo ni zawadi zangu za siku ya wanawake? Au umeniringishia tuu
Eti umeniringishia 😊😊

Whatever that means to you!

Exceptional? Of course you are, Paula. I wasn't expecting you are below 35 with such wisdom in your replies.

When I want to go for a partner, will come to you for a piece of advice.

No pun intended.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom