Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,623
- Thread starter
- #81
Hoja ipi unayoiunga mkono Ushimen, acha vituko

Hoja ipi unayoiunga mkono Ushimen, acha vituko

Rory Asante sana.I think it's okay to be that way
I like hanging out with friends from time to time but it gets boring to always maintain a conversation with them through chatting or phone call unless iwe kitu muhimu
Siku hizi WhatsApp status imesaidia ndo unashangaa unamtext mtu ukiona kapost kitu n life goes on.
I've been betrayed by friends once , nikajifunza sio kila ajifanye rafiki ni rafiki kweli ,Tena kwetu wadada umbeya ndo umejazana .
Kiranga anatemaga madini tu na haijalishi uzi unahusu nini..Wewe jamaa nakuelewaga sana. Chochote unachoandika kinaonekana kimetoka kwa mtu anayejitambua na mwenye maujuzi ya kutosha.
Hauna kabisa ZAYO? Sio kwamba unao ila hauna time nao?Sijawahi kujutia kutokua na marafiki🙂
it saves me from a lot of unnecessary drama.
Kwa siku natumia masaa matatu tuu kujifunza mambo mapya sikosi muda bana mzee toboa.Marafiki wangu wengi ni wazee wa ulabu. Kuitana kwenda kupiga maji.
Wengine ambao siwezi kuwahesabu kama marafiki ni wafanyakazi wenzangu, na wale wa vikundi mbali mbali vya mtaani mfano kamati, kikundi cha kusaidiana kwenye misiba. Hawa sio marafiki zangu japo tunatumia muda mwingi pamoja.
Na kwenye matatizo tunatatua pamoja.
Nikirudi kwako, wewe unaonekana unapenda kusoma na kujifunza vitu vingi sasa huo muda wa kutuma meseji na simu zisizokauka utatoka wapi. Hilo sio tatizo tena mshukuru Mungu.
Wewe ni introvert Ceicey.Tupo wengi sanaa kumbe! mi pia sina rafiki shoga wala best....yaaani nipo kivyangu tu na niko na furaha ajabu....labda niseme rafiki angu jamii forum kusoma hadithi,riwaya nk pia movies
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa smart, unafahamu limits zako. Utafahamu umuhimu wa uhuru kwako na kwa hao marafiki. We all need space and only smart people know this. Pia urafiki mwingi unabebwa na drama zisizo za lazima. Ukiwa smart, you can simply tell shit ain't real. Urafiki wa kugandana unapaswa kuishia sekondary sweetheart!Asante KANA kwa maoni yako.
"Pia kadri unavyokua smart upstairs, ndio unavyozidi kua na marafiki wachache" kwanini?
Wife tuu anatosha Eli?Baada ya kuoa rafiki yangu amekuwa wife. Urafiki wa kuambiana issues za ndani kabisa ni hatari sana, ilà pia sipendi huo urafiki ambao nakuwa na ulazima wa kumuandikia mtu, kwamba nisipoandika/nisipopiga atanielewa vibaya.
Thank you Chaliifrancisco.There are a lot of them like being honest, making time and showing appreciation for others, lowering or even altering your expectations and not making assumptions.
Being compassionate, like doing what is right rather than being right. Appologizing when you make a mistake. I could go on forever.
Wow!! MM&I is my favorite Beyonce Song.Here Bey is talking about being her ‘own best friend’.
Although the ballad is about a breakup of a romantic relationship, the mesage is beyond that.
Tamaa? Kivipi?
Nitalifanyia hili kazi Fendi. Asante kwa ushauri.U might be rig
U real real need friends.. Humjui tu opportunities mnazopoteza just kwa kuamua kuishi hayo maisha.. Hasa kama ni mfanyabiashara marafiki ni muhimu sana but kama Wewe ndio wale wa maofisini wanaosubiri kukinga mwisho wa Mwezi labda marafiki hawakusaidii chochote..
Nimekuelewa Zurri.Wakati huo sina, sababu kiuhalisia urafiki hauombwi kama watu wanavyoupa kazi ambayo sio yake wala si asili yake,leo hii unakuta watu wanaomba urafiki unajiuliza,hawa wanaujua urafiki au ? Urafiki huja tu na huu ndio asili na ndio huwa wa kweli, sisi Waswahili tunasema hivi "Ndege wafananao ndio huruka pamoja" ukiona hufanani na wenzako ujue watakuacha tu.
Sasa naanzaje ku "maintain" urafiki wakati sijaomba urafiki, nikiona hatufanani "autimatically" urafiki unakufa.
Sasa mimi sio introvert, shy wala anti social.tafuta ule uzi wa "introverts & shy people" utajua kwa nn upo hvo
link yake hii hapa
Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Me too, I am seeing a lot of myself in this comment. Thank you Pendo.Yaani you are another version of me.
Kwanza kabisa mimi nina marafiki wengi.
I love them . Ila i have 3 best friends. And i love them for no good reason. 2 men and one lady. In my life i really hate kufatana kila mahali na a soo called best friend. Kwanza wote kama yaani sina muda. Yaan sipendi kugandana na mtu. And thats why our bond is still. Tunaweza kaa hata mwezi ama zaidi hatujasalimiana. Ila the day we talk tutaconversate sana. After there ni kama hatujuani
Kugandana kila mahali sucks. I love freedom. Ni marafiki wa moyoni mwangu na si wa kuchat kila saa. And as i grow older ndo cycle yangu imepungua balaa. And this is the best. U dont have to feel bad about it hun. Kula siku kuchat same thung lazima ibore. Just keep being u. Do what makes ur heart happy. Travel a lot. Drink, dance etc. Marafiki sometimes can turn ur life into a grave yard.
Keep being u hun
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamwambia napenda kuwa rafiki yako, vipi tunaweza kuwa marafiki?Hivi unamuombaje mtu urafiki?
Trust issues_DrakeMimi naona hamna tatizo.
Kipindi cha nyuma nilikuwa na marafiki wengi ila the older I get, the less I want to interact with people. Kwa sasa sina marafiki au hata rafiki.
Sababu mojawapo ni Trust issues. Marafiki niliowaamini walinigeuka na kutenda vitu ambavyo hata adui yangu kamwe asingeweza kufanya. Tangu pale siamini mtu yoyote kuwa rafiki yangu bora niwe mwenyewe.
Nakushauri bora ubaki kama hivyo, mazoea ya kufatanafatana ndo unafiki na chuki zinapoanziaga.
Sent using Jamii Forums mobile app