Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

Casual Conversation: DAE struggle to maintain friendships?

I think it's okay to be that way

I like hanging out with friends from time to time but it gets boring to always maintain a conversation with them through chatting or phone call unless iwe kitu muhimu

Siku hizi WhatsApp status imesaidia ndo unashangaa unamtext mtu ukiona kapost kitu n life goes on.

I've been betrayed by friends once , nikajifunza sio kila ajifanye rafiki ni rafiki kweli ,Tena kwetu wadada umbeya ndo umejazana .
 
Usinikumbushe tafadhali sana.!!
Kuna watu ni wanafki jamani mpaka aibu, halafu akitoka kukunafkia anakupigia simu mnaongea for hours maskiini,
Marafiki wameniumiza mno mpaka sina hamu.! Halafu nilijua ni wanawake tu, ukikutana na mwanaume mnafki jihesabie msiba..!

Kuna watu wanakuchekea na wanakupigia simu kila siku halafu deep down ni adui zako ila hutokaa uwahi kujua.!! Ukishakuwa adui yangu mazoea na wewe sitaki kabisa, sasa sijui mtu anawezaje ku act anakupenda on the same same time ana do shits behind your back..!!
Pole Carleen.
Nilikuwa nampango wa kutafuta marafiki jinsia pinzani kumbe huko nako hapafai.
Ukiona mtu anakufanyia unafki na anakupigia simu jua hajitambui kama amefanya unafiki.
Hayo masaa unakuwa unamwongezea data nyingine maana lazima amekupigia kukusanya taarifa mpya.
Mungu Aturehemu sisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani siyo wote baby D, ila usiombe ukutane na mmojawapo, utajuta bora wa kike mara mia tatu, nilikuwa nawaamini hivyo pia jinsia 'be' ila toka nipigwe tukio nawaogopa mno walaqhi tena!!
Nimeshapoa mdogo wangu, those were the worst days of my life.! Ila zimenifunza hasa.!
 
Marafiki wangu wengi ni wazee wa ulabu. Kuitana kwenda kupiga maji.

Wengine ambao siwezi kuwahesabu kama marafiki ni wafanyakazi wenzangu, na wale wa vikundi mbali mbali vya mtaani mfano kamati, kikundi cha kusaidiana kwenye misiba. Hawa sio marafiki zangu japo tunatumia muda mwingi pamoja.
Na kwenye matatizo tunatatua pamoja.

Nikirudi kwako, wewe unaonekana unapenda kusoma na kujifunza vitu vingi sasa huo muda wa kutuma meseji na simu zisizokauka utatoka wapi. Hilo sio tatizo tena mshukuru Mungu.
 
Kwanza kuwa rafiki yako wewe mwenyewe.

Mengine yatafuata.

Ukiwa na rafiki poa.

Usipokuwa na rafiki ushakuwa rafiki yako wewe mwenyewe.

Pia, urafiki maana yake si kuwa na constant contact. Mara nyingine watu wako busy na kazi, familia etc.

Watu wakishafika miaka ya kati ya ishirini naona inaweza kuwa vigumu kuwa na marafiki wengi wa constant contact. Hapo ndipo unaona mtu anapokua idadi ya marafiki wa karibu inaweza kupungua.

Kunakuwa na "social circles" za acquintances wa chuo, kazini, biashara, majirani n.k.

Mimi napendelea marafiki wachache. Imetokea tu marafiki zangu wamekuwa well connected kwenye community, na kwa kupitia wao, napata mengi ya community.

Inawezekana nimepoteza nafasi nyingi za ku advance socially kwa kukataa mialiko ya parties (from professional networking soirees to UN parties) kwa sababu siku fulani sikujisikia kuwa na mood ya mambo hayo tu.

Pia, watu wanavyoingia katika uchumba na ndoa, mara nyingi kujiweka zaidi katika uchumba, ndoa, familia kunachukua muda ambao vinginevyo ungeenda kwa marafiki.

Be your own best friend, the rest will follow.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe jamaa nakuelewaga sana. Chochote unachoandika kinaonekana kimetoka kwa mtu anayejitambua na mwenye maujuzi ya kutosha.
 
Usinikumbushe tafadhali sana.!!
Kuna watu ni wanafki jamani mpaka aibu, halafu akitoka kukunafkia anakupigia simu mnaongea for hours maskiini,
Marafiki wameniumiza mno mpaka sina hamu.! Halafu nilijua ni wanawake tu, ukikutana na mwanaume mnafki jihesabie msiba..!

Kuna watu wanakuchekea na wanakupigia simu kila siku halafu deep down ni adui zako ila hutokaa uwahi kujua.!! Ukishakuwa adui yangu mazoea na wewe sitaki kabisa, sasa sijui mtu anawezaje ku act anakupenda on the same same time ana do shits behind your back..!!
Wadada mna haya mambo sana.
Hata huku jukwaani unakuta mnaonekana ni marafiki ila siku mmoja akichomolewa betri utaona marafiki zake wanavyoshangilia indirect.
Kuweni makini na marafiki mnaowachagua.
 
Asante sana.

Comment yako inanifanya niazimie kuchangia zaidi, kwa kuwa kuna watu wanakubali na kuoenda michango kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuchangia boss. Tuendelee kujifunza. Na uzee wangu na miaka yote niliyoishi hapa duniani bado kuna mambo siyajui na kwa mara ya kwanza najifunza kwako kama sio kuyasikia kwako.
Kwenye ule uzi wa vitabu ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kukufuatilia.
Pia hauna haya mambo ya kutumia emoji hata sisi wazee tunaona huu mchango umetoka kwa mwanaume anayejitambua.
 
Baada ya kuoa rafiki yangu amekuwa wife. Urafiki wa kuambiana issues za ndani kabisa ni hatari sana, ilà pia sipendi huo urafiki ambao nakuwa na ulazima wa kumuandikia mtu, kwamba nisipoandika/nisipopiga atanielewa vibaya.
 
Nadhani siyo wote baby D, ila usiombe ukutane na mmojawapo, utajuta bora wa kike mara mia tatu, nilikuwa nawaamini hivyo pia jinsia 'be' ila toka nipigwe tukio nawaogopa mno walaqhi tena!!
Nimeshapoa mdogo wangu, those were the worst days of my life.! Ila zimenifunza hasa.!
Bado ni rafiki yako? Anajisikiaje sasa baada ya kugundua umegundua matukio anayokupiga. Haoni hata aibu? .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani siyo wote baby D, ila usiombe ukutane na mmojawapo, utajuta bora wa kike mara mia tatu, nilikuwa nawaamini hivyo pia jinsia 'be' ila toka nipigwe tukio nawaogopa mno walaqhi tena!!
Nimeshapoa mdogo wangu, those were the worst days of my life.! Ila zimenifunza hasa.!

Afadhali umeweka ufafanuzi kwamba siyo wote.

All in all, hakuna rafiki yako mzuri zaidi ya wewe mwenyewe.
 
Bado ni rafiki yako? Anajisikiaje sasa baada ya kugundua umegundua matukio anayokupiga. Haoni hata aibu? .

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂
Kwanini aendelee kuwa rafiki yangu?? Dunia imeisha watu?? Hell nuh'..! I told ya' ukiwa adui yangu, tunachukiana kikweli kweli na tunakuwa deadly serious na uadui wetu, I can't play games with 'mdananda'..!
 
Endelea kuchangia boss. Tuendelee kujifunza. Na uzee wangu na miaka yote niliyoishi hapa duniani bado kuna mambo siyajui na kwa mara ya kwanza najifunza kwako kama sio kuyasikia kwako.
Kwenye ule uzi wa vitabu ndio ulikuwa mwanzo wa kuanza kukufuatilia.
Pia hauna haya mambo ya kutumia emoji hata sisi wazee tunaona huu mchango umetoka kwa mwanaume anayejitambua.
Hahaa. Mtu anayeweza kukaa na wa kishua, halafu akakaa uswazi.Akakaa na mabaharia, halafu akakaa na walokole. Akakaa na wabongo, halafu akakaa na wanyamwezi.

Akawa mpenzi wa kujiendeleza kielimu, akajua changamoto za maisha na namna mbalimbali za kuzikabili...

Nafikiri anaweza kusema amepata maksi za kiasi fulani katika kile Wafaransa wanachokiita "savoir faire", uwezo wa kuwa na maadili na ujuzi wa kufanya kitu sahihi, kwa muda sahihi, pahali sahihi.

Sasa hapo ndipo unapokuta mtu kaleta mchango JF kitu ambacho watu washapitia, kinajulikana, mara nyingine hata kumueleza kwamba hilo jambo watu wengi wanalo na ni kawaida inakuwa faraja kubwa. Kwa sababu pengine mtu anaweza kujiona yeye ni wa ajabu, wakati hata nusu ya robo ya ajabu hajafikia.
 
I neither shy nor uncomfortable around people.
I know how to measure up and quality over quantity is my preference for friendships.

I am not introverted, I don't like being alone, I like to interact with people, I like spending time with new people, meeting new people, hang out, etc. But I am just shit at maintaining the friendship. I mean I am not good at keeping them.
It's really frustrating.

I like someone who can handle being apart and not getting angry when I don't contact him/her constantly.

I think maybe a lot of people I met don’t share similar interests with me. It's really hard to find people with my interest.

"Some people lack the skills needed to make and maintain friendships " what are those skills Chaliifrancisco?
There are a lot of them like being honest, making time and showing appreciation for others, lowering or even altering your expectations and not making assumptions.

Being compassionate, like doing what is right rather than being right. Appologizing when you make a mistake. I could go on forever.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom