Castle lite

Mbona tumekuwa so sensitive sana kwa sisi waafrica. Ukisema nguvu za kiumu kila mtu atatoa attention yake..lakini ukitaja vingine hamna anayejali..hii inaonyesha ni kwa jinsi tunapenda haya mambo!!
Ndio maana uchumi wetu haukui kwa double digit...
ndio urithi wewe,mbona zamani sana kulikuwa hakuna haya mambo ya uchumi sijui
 
kitu castle lager au milk banaaa,ukipigaa milk asubuii unatoaa timbaaa jeusiiiiii,...serengeti inanukishaaaa mdomo,tusker inapunguzaa nguvu za kiumee,castle lite zimee kaa kidada zaidi,safari pombee ya wagumu[huna helaa unataka kulewa haraka],banana na jamii yake kimoraliii malaika zinaa vimbisha mwili na kupunguza nguvu za kiumee,konyagi na mdogo wake kirobaa pombee za vichaaa,valuuu zina leta ubovuu wa machooo,gongo pombe ya mkulima....jogoo kunywaaa kuwikaaa muhimu.
 
Hatimaye ndani ya kopo........

kopo1.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom