Castle lite

View attachment 46005
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php

Dawa ya kuacha kuchomeka chomeka
 
Basi bia,soda nk zote mbaya!zinapunguza hamu!kunywa juice kwa afya yako na maji.
 
Heeeeeeeeee!!!!!!!!!! Kumbe upo!
Nimeambiwa Ndovu zinapunguza Nguvu zetu, sasa nazikata mpaka ziishe kabisa

sasa nguvu zikiisha itakuwaje Mungi.....?.....usilete masihara ujue........

 
Mkuu kama wewe unaishiwa nguvu kwakutumia hiyo Castel Lite usipate shida! Ngoja nikupe ushauri, wakati unapata hiyo bia tupia na kiroba kimoja cha Vladimir baada ya kupata hizo Castle Lite kadhaa halafu nenda kaburudike na mamaa natumaini atakupa habari njema kuhusiana na hilo tukio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom