Willy mayor
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 346
- 44
kuna waliokosa nafasi xo wameambiwa wa apply tena
kuna waliokosa nafasi xo wameambiwa wa apply tena
Samahani wakuu huyu kaambiwa aapply tena ikaandika hivi inamaana tayari au??
Nope anaambiwa vigezo minimum anavyo ila kuchaguliwa itategemea na priority aloeka yeye na ushindani kutoka kwa wanafunzi wenzie waliochagua io coz kumbuka aliefaulu zaidi ndo mwenye nafasi kubwa yakupata coz ynye ushindani mkubwa
Kama hujakutana na ujumbe kama huo kwenye profile yako basi utafanya 2nd round,lakini kama umepata ujumbe huo kwenye profile yako basi provision results nikuwa utakuwa umechaguliwa among of your sweater choice.
Sasa anatakiwa afanyaje??? Maana hii inatakiwa achague coz 1 tu
Vp wakuu hvi kama inatakiwa uaaply tena kwa mar y pli,ukiingia kwenye profile inaandikaje?
Samahani wakuu huyu kaambiwa aapply tena ikaandika hivi inamaana tayari au??
Ndiyo yani umemeet mahitaji ya kozi husika lakini kuchaguliwa kwako kutatokana na ushindani wa kozi hiyo.
So it means ukiona ujumbe huo...you are safe.
It means haya maneno ya kuhusu to go to second round ni kwa watu wote au baadhi tuh?
It means haya maneno ya kuhusu to go to second round ni kwa watu wote au baadhi tuh?
Ndiyo yani umemeet mahitaji ya kozi husika lakini kuchaguliwa kwako kutatokana na ushindani wa kozi hiyo.