CAS is now open for 2nd round applications only

CAS is now open for 2nd round applications only

nimeingia kwenye akaunti yangu ,hakuna chochote ,au ndo ina process?
 
nimeingia kwenye akaunti yangu ,hakuna chochote ,au ndo ina process?

huo jamaa alitoa hiyo taarifa athibitishe bhas mbona mi sielewi ukweli upo wapi na jamaa yangu kaingia kakuta kwenye profile lske hakuna kitu kama hicho bhana tusipeane plesha. toeni taarifa zenue uhakika
 
Kunajamaa yang amefungua amekuta tangazo aaply upya.na mwisho ni tar 18 september.mi kwangu kumeandikwa procesing.ila hawajaonesha chuo walicho nichagua.
Msada kaka zangu ntakuwa nilikosea wapi wa jameni?? Msaada tafazari

Naomba u-snap shoot bas ili tuwe na hakika plz.
 
huo jamaa alitoa hiyo taarifa athibitishe bhas mbona mi sielewi ukweli upo wapi na jamaa yangu kaingia kakuta kwenye profile lske hakuna kitu kama hicho bhana tusipeane plesha. toeni taarifa zenue uhakika
Huenda kuna ukweli ,maana maybe kuna vyuo reporting time yake ni mapema so inabd wawe wamepangwa mapema ,so inawezekana it depend na vyuo ulivyochagua.
 
kutokana na waraka wa tcu,vyuo vinafungua mwanzoni mwa novemba!hivyo majibu,presha ipungue
 
even nacte bado,wote kwa pamoja wanafanya kazi kwa ushirikiano
 
Mwenye anajua tatzo ni nini ikiandika procesing.mi yangu imeandika ivyo
 
bAdo mchakato ndo unaanza,... msiwe na pressure wadau
 
Kuna mda waliniandikia hivi
 
Attachments

  • 1441439101281.jpg
    1441439101281.jpg
    34.7 KB · Views: 603
itakua in kwa baadhibya vyuo vinatangaza mapema. mm bado cjaona lolote kwa profile yang
 
Back
Top Bottom