CAS is now open for 2nd round applications only

CAS is now open for 2nd round applications only

Ahsate ndugu. Kwahyo nachotakiwa ni kusubiri Kama ntachaguliwa tena??
Lakini hakuna kithibitisho kwamba hyo coz imeingia kwenye system ndomana nawasiwasi

Unajua sababu ya kufanya choice 5?kama unajua basi you dont have to wory..kama hujui am sory but kama kuna kozi uliweka choice ya 5 lakini huipendi unaweza jikuta umetupwa humo..
 
Welcome Again to the Central Admission System. You are here because you were not successful in the last round of selections.You are now given the opportunity to select ONLY ONE PROGRAMME among those that are not yet filled to capacity.
Mimi nimeandikiwa hivyo
Matokeo yangu physics C biology B+ chemistry B
 
Unajua sababu ya kufanya choice 5?kama unajua basi you dont have to wory..kama hujui am sory but kama kuna kozi uliweka choice ya 5 lakini huipendi unaweza jikuta umetupwa humo..

Noo ukiambiwa ufanye 2nd appl means haupo katika zile 5. So nimefanya ila inaniandikia Kama hapo juu.
 
TCU hawaeleweki...let say umeenda kwenye kuchagua secondround..ukiweka course then ikakubali..hlfu urudi kwenye "view selections" haukuti hiyo course, then at times course za mwanzo zinarudi zote.
 
TCU hawaeleweki...let say umeenda kwenye kuchagua secondround..ukiweka course then ikakubali..hlfu urudi kwenye "view selections" haukuti hiyo course, then at times course za mwanzo zinarudi zote.

Same happen to me sijui itakuaje
 
Labda niulize kuna mtu profile yake...hakuna changes zozote....yaani ipo kama awali.
 
sasa haya mambo mbona tnavurugana anaejua eb atufafanulie,unachagua koz nyngne huion inapotelea wapi unambiwa view selection unazkuta zle tano za 1st round,,
 
Labda niulize kuna mtu profile yake...hakuna changes zozote....yaani ipo kama awali.

Mkuu mbona ishu ni simple sana..ukitaka kujua angalia kozi unayoitaka alafu capacity ya kozi ndo uichague ndio wanachomanisha.
 
0764531080 wale tulio apply TCU na NACTE nipm watsapp ni wa add kwenye group tuwe tunapeana UPDATE mbali mbali
 
Wakuu nimekuta hivi hebu mnisaidie maana hapa vipi au natakiwa kuludiaa tenaa niniiiiii
 
Attachments

  • 1441889513158.jpg
    1441889513158.jpg
    46 KB · Views: 308
Back
Top Bottom