Mr. Teacher
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 330
- 88
duh naona CAS imegoma
ivi wakuu iz namba za kwnye priotry1 ad three unakuta mia tano or may b mia nne znaplay part gani kwenye selection
hawa tcu wanabore haiwezwkani hili limtandao lao linagoma likifungua hakuna kitu very bored
Bora wangeongeza muda tu maana wadogo zetu kwenye vikosi vyao ndio wanamaliza jkt...wapewe muda kidogo wa kuomba ambao hawakuomba na marekebisho kidogo ili tu wasije kosa vyuo kama mwaka jana
VP wakuu TCU cas haifunguki ni tatizo la mtandao au kwangu tu ndo error?
hatimae sasa wanafungua 2nd round, na mimi pia hyo message ipo, ila tusubiri mpaka jioni ndo tutapata uhakika kama tumepata selection kwenye choice zetu au kama watatwambia 2nd round