CAS is now open for 2nd round applications only

CAS is now open for 2nd round applications only

TCU hawaeleweki...let say umeenda kwenye kuchagua secondround..ukiweka course then ikakubali..hlfu urudi kwenye "view selections" haukuti hiyo course, then at times course za mwanzo zinarudi zote.
Mku ndo inakuwa hivyo kwako! pole sana, mwaka jana pia kuna watu at first waliambiwa 2nd round sanasana wale wa md, jamaa yangu mmoja walimrudishia st francis baada ya mda, mwanzoni system inakuwa haija kaa poa so jaribu huku unasubiria huenda zakarudi
 
Mkuu siyo kuwa hatupendi ualimu...sema ukiingia ualimu hauthaminiwi...ndo shida.

Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanaoenda kusoma ualimu sio kwamba wanapenda bali kuna circumstances zinazowapeleka huko mf familia kukosa uwezo wa kumsomesha privately kutokana na kukosa Mkopo..... Kukosa course aliyoipenda so inambidi achague education ili apate boom... Kwa hiyo huna option nyngne kama uwezo wa familia ni mdogo.
 
Mkuu upo sawa...nimekuelewa.
 
ni kwel bna msiwe wabishi wakat at hamjaangalia we ingia kwene profile yako utaona
 
Wakuu mi nina div 2.12.'D phy,D chem,D adv math' old grad,nimepita first round.je ninitapangiwa wapi
priority
1.civil ud
2.civil ardhi
3.civil d.i.t
4.civil st.joseph
5.civil mbeya uni.
 
TCU hawaeleweki...let say umeenda kwenye kuchagua secondround..ukiweka course then ikakubali..hlfu urudi kwenye "view selections" haukuti hiyo course, then at times course za mwanzo zinarudi zote.

Same to to,
Kimenitokea naambiwa nifanye second.
Then nkiad program naambiwa nmekizi vigezo nmechaguliwa.
Kwa chini naambiwa bonyeza kuona kozi uliofanya second.
Nkibonyeza zinarudi za mwanzoni.
Sasa tatizo ni nn wakuu?
 
1.UDOM
2.UDSM
3.KCMC
4.Ifikara
5.BUGANDO

Kama ndoto yako ni kuwa Dr na uwezo wa kujilipia huna nakushauri subir mpaka mwakani ufanye application upya ila u apply na dip ya Co.... Maana kuna wengine ndoto zao straight away lakin kuna wengine inabidi uzunguke sana kufikia ndoto zao.
 
0764531080 wale tulio apply TCU na NACTE nipm watsapp ni wa add kwenye group tuwe tunapeana UPDATE mbali mbali
 
Wakuu mi nina div 2.12.'D phy,D chem,D adv math' old grad,nimepita first round.je ninitapangiwa wapi
priority
1.civil ud
2.civil ardhi
3.civil d.i.t
4.civil st.joseph
5.civil mbeya uni.

ni ngumu kujua umepangiwa wapi ila wewe jua umepangiwa vyuo hivyo so kimoja wapo umepangwa coz unaweza pangwa hata chuo cha mwisho
 
Wakuu toka saa 12 jion najaribu kuchungulia profile ila haifunguki... Ni Kwangu tu ama?
 
Back
Top Bottom