Queenhappy.com
New Member
- Sep 4, 2015
- 4
- 0
Ivi jamani hio reapplication ni kwa wote au kwa w' funz walomaliza six tu?
Ivi jamani hio reapplication ni kwa wote au kwa w' funz walomaliza six tu?
kimenuka
Hahahahahahaaaa!kiatu au?
:bounce:[/QUOTE
____✌✌✌✌✌
:bounce:[/QUOTE
____✌✌✌✌✌
Ndo nn hii???
jamani wakuu mi mbona CAS HAIFUNGUKI ila TCU Yenyewe inafunguka ila nikitaka kufungua central admission system haifunguki ili niangalie profile langu lakin kitu kimegoma je na wengine ni hivyohivyo au ni mimi peeke yang
nami pia nilitaka kuuliza hiyo ishu, itakuwa ndo wanafanya yao, huenda itakapokubali ndo 2nd round itaruhusiwa kwa waliokosa na waliochelewa, tusubiri.