Saa6 usiku mi niliingia ikakataa nikaingia tena saa8 usiku napo pia ilikataa,sina uhakika na anachokisema jamaa hapo
Haina noma mana chuo ni hadi November ila watakaofanya 2nd round nawapa pole sana
hongeraYap first imenihusu
Second round bado.... ni mpk Tangazo maalumu
litoke kwenye website ya TCU. Juzi ni kwamba
system ilizingua tuh, so ondoeni hofu.
jaribu basi ata kuangalia huu uzi vizuri page nyingine, anyway labda hukufahamu, ila 2nd iliruhusiwa alhamisi kabla sytem haijazingua na waliowahi walifanya kwa kuchagua coz moja nyingine huamini angalia screenshot humu za waliofanya 2nd na za waliopata
jidanganye ivyoivyoMkuu,second round bado na ikiwa tayari TCU wataweka tangazo maalum pale.Kilichotokea juzi ni kama kuleak tu na ndio maana waliobahatika kuchagua wamebahatika
Mwaka 2013 matokeo ya TCU yalileak kupitia airtel(credit to Mbwiga99)...watu wengi tulionea kule but later wakafunga
Tuvumilie mkuu
fanyeni yote ila st joseph msi weke
fafanua vzr kijana walikupa taarifa gani? Na kwa waliofanikiwa kuomba 2nd round kabla ya CAS kufungwa walisemaje?Sasa mtu anabisha hata taarifa zikizotoka TCU, Watu tumeenda jana tukapewa hizo taarifa.
fafanua vzr kijana walikupa taarifa gani? Na kwa waliofanikiwa kuomba 2nd round kabla ya CAS kufungwa walisemaje?
Sasa mtu anabisha hata taarifa zikizotoka TCU, Watu tumeenda jana tukapewa hizo taarifa.