Kwa wale waliopitia NACTE,, Nawashauri pia muwe mnaangalia email zenu mara kwa mara, mara nyingi Nacte hutoa taarifa zinazokuhusu kupitia email zenu,, ila kwa wale wa tcu direct ni mara chache sana kupitia email na huwa hawatoi taarifa kwa email.
kwa secand roundi mnajua kozi ambazo zinakua zimebaki ni non priorty zote ata esucation utaitafuta kwa torch na isionekane.... Omba Mungu usipatekane katka round ya pili...!!
Udsm siku hizi kuna MD.?.
Me si nimesoma pale
Mkuu vijana wanaboa sana hawa....mimi nimemwambia mdogo wangu aache presha kwan sifa za kwenda anazo na ninavoskia hadi january
,,,mi mbona CAS haifunguki, shida ni nini?Wakuu mbona haijabadilika chochote???
What does this mean?
fanyeni yote ila st joseph msi weke
cas hovyooooooooooooooooooo
Nimeongea na jamaa yangu hapo TCU anasema wana update admitted names..
TCU hoyeeeeeeeeeeeeee.!" naona wamegomesha kufungua web "