Mkuu mm nakuona ww kama unaufahamu hafifu/mfinyu wa psychology ya wanafunzi au binadamu kawaida,
Kwanza cjawahi ona watu wanasomea ujinga,au chuo kikuu kinafundisha coze ya UJINGA,
2nd ujuaji wako wa kujua kucheza na internet au kutafuta unachokihitaji kwenye mtandao unajikuta unajuwa kila ki2 mpaka unafikia hatua ya kuwadharau wanaouliza na kutaka kufahamu kinachoendelea bila kujuwa kwamba wengine ndio wamefanya jamii forum kuwa ndio source ya information yao yeyote katka huu mchakato
Me nakushauri idea ndogo tuh, n vema ukatoka humu ndan kwenye hili jukwaa la elimu uwaachie wanaotaka infor kutoka kwa wanaojuwa
Kuliko kuendelea kuwaona watu vilaza na kuwadharau waziwazi,au badilisha jukwaa nenda kwa wale unaowaona wanajuwa kama ww au zaidi ya ww ili ugain angalau kidogo