CAS is now open for 2nd round applications only

CAS is now open for 2nd round applications only

tusubiri tu, sio rahis kujizua kuwa na wasiwasi, so tufanye kumuamini tu aliyesema mpaka j3

Sasa mkuu kinachonishangaza kwa nn waliiachia then wakaifunga,maana hadi muda huu kuna ambao washajua kuwa hawapo first round na wameshafanya reapplication,kuna wengine hadi muda huu hatujui kama tupo first au second,kama ni kweli jumatatu tusubirie
 
Natoa angalizo tcu na nacte nawapa siku mbili site ya cas iwe imefunguka lsivyo nafanya maamuzi magumu ntaitisha press conference na kuamia lasmi act wazalendo
 
Dah !maybe wale wasopata wanaweza wakachaguliwa kwenye hio update, tuvute subbra t wadau
 
Kama ni matexo heri uteseke na mapenz kuliko hivi tcu wanavyotufanyiaaa
had sasa 2mekuwa watumwa wa mtandao..
Wakuu hii noumaaa axee
 
Natoa angalizo tcu na nacte nawapa siku mbili site ya cas iwe imefunguka lsivyo nafanya maamuzi magumu ntaitisha press conference na kuamia lasmi act wazalendo

Muda mwingine ni bora kuficha ujinga
 
Back
Top Bottom