lynne
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 897
- 1,182
Imagine movie ya 2007 ila tech wametuzidimini-jack wanaendelea kutushangaza uwezo wa wenzetu ktk kutengeneza Films
Imagine movie ya 2007 ila tech wametuzidimini-jack wanaendelea kutushangaza uwezo wa wenzetu ktk kutengeneza Films
Kilichodemekana ni kwamba atakuwepo ila hatakuwa na nafasi kubwa sana kwa character yake. Itafocus zaidi katika kudevelop other characters kama hio mpya ya Captain Salazar na zinginezo. Hii walitakaga kuifanya way back even before the Stranger's Tides waki'site reason mojawapo ni kuepuka kufanya the whole Pirates of the Caribbean franchise iwe dependant on a single character/one-man attraction. Ila tusubirie tutaona itakuwaje.Sidhan..ila treller zake ajaonekana anaonekana jamaa flan wa Skyfal




maana wengine kudownload kwenye internet hatuelewi
jamaa walikua wanaweka pombe mochoni halafu wanaangalia TV kwa jirani hahahaaa pumbafu saana Johnny Depp, hata kwenye the tourist kafanya tofauti saanaMm nlipenda saaana curse of black Pearl wakati wa usiku mwezi ukitokea wanageuka mafuvu asee walikuwa wanapigana kama nn sijuiIla DEAD MAN CHEST ilifunika zote



Mm nlipenda saaana curse of black Pearl wakati wa usiku mwezi ukitokea wanageuka mafuvu asee walikuwa wanapigana kama nn sijui![]()


mm napenda hio mikogo, hapo inapoanzaAt world's end mi ndo naikubali na hapa nimeamua kuiangalia hahahahaIla DEAD MAN CHEST ilifunika zote
King Julien: You want me to play hide and seek with Lemmy?Rico anasema...fortunes are mere superstition s...king Julian anajibu...yethhh this stitions are super that's why you must listen to them..![]()
![]()
![]()
Umenkumbusha ngoja leo niitazame tenaIla DEAD MAN CHEST ilifunika zote


Dead man Chest..napenda sana lilie Crew ya Dave jones..jamaa wapo kama Samaki vile..viumbe wa ajabuMm nlipenda saaana curse of black Pearl wakati wa usiku mwezi ukitokea wanageuka mafuvu asee walikuwa wanapigana kama nn sijui![]()
King Julien: You want me to play hide and seek with Lemmy?
Mort: Uh-huh. Is good idea. You like?
King Julien: I like. I can show you my seeking
technique and also my counting technique. I invented a few new numbers I think you will like.
[ Covers eyes]
King Julien: One, twolien, three-four-five-six-seven-eight-nine-ten, meleven...

Sana sana kuna wale jamaa wawili mmoja anajicho bandia huwa sichoki kuwaangalia maana ni wanaongea na kufikiria ujinga mda wotemm napenda hio mikogo, hapo inapoanza

Hahaha na meli yao ile mara iwe submarine izame na mda mwingine meli kama kawaidaDead man Chest..napenda sana lilie Crew ya Dave jones..jamaa wapo kama Samaki vile..viumbe wa ajabu
.....ila mara ya kwanza asee nlikuwa siwakubali muonekano waoile meli inaitwa the flying Dutchman chini ya captaincy ya Davy Jones aka pweza mtuHahaha na meli yao ile mara iwe submarine izame na mda mwingine meli kama kawaida![]()
.....ila mara ya kwanza asee nlikuwa siwakubali muonekano wao
Tia Dalma 'Calypso' anapendelea kumwita 'Witty Jack'.I am not Jack Sparrow, I am captain Jack Sparrow.
This day will be remembered as the day when you almost caught Capt Jack Sparrow.