Captain Jack Sparrow

Captain Jack Sparrow

Imeshatoka...humo Jack ni anawazingua hatari
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
MWENYEWE ANAKWAMBIA HAPENDI KUJITAZAMA MWENYEWE KWENYE MUVI ALIYOIGIZA
 
dah ilinifurahisha ishu yake na amber heard (ex wake) alikwa akimtuhumu mchizi kuwa ni abusive mpaka kuna siku demu akamtegea kamera kuthibitisha,mchizi anaonekana mtu wa tungi sana.
 
Back
Top Bottom