princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 8,685
- 17,288
mikogo ya jack sparrow
karibuni tupunguze stress
Na mwaka huu nasubiria kwa hamu pirate of carribian muendelezo wako ( dead man tell no tales )Haha huyo ni john depp
Jamaa katika series za pirates of Caribbean alitisha sana
Jamaa anajua sanaaaaa
nasikia ndio wanaishugulikia huyu jamaa Ana vituko sanaNa mwaka huu nasubiria kwa hamu pirate of carribian muendelezo wako ( dead man tell no tales )
Johnny Depp.Haha huyo ni john depp
Jamaa katika series za pirates of Caribbean alitisha sana
Jamaa anajua sanaaaaa
Ratiba ishatoka...ni mwez wa tano inatoka hiyo movienasikia ndio wanaishugulikia huyu jamaa Ana vituko sana
Namkubali saaaaana yan.....kama ushaangalia lone ranger nadhani unamwelewanasikia ndio wanaishugulikia huyu jamaa Ana vituko sana
sijaona hip ,nmeona na in the stranger tidesNamkubali saaaaana yan.....kama ushaangalia lone ranger nadhani unamwelewa
tuingojeRatiba ishatoka...ni mwez wa tano inatoka hiyo movie
Hivi unajua kuwa ikitaka kuielewa vizur na kuifaidi hiyo pirates of carribean sharti uanze kuangalia kuanzia ya kwanza?.... Au wewe umeangalia in strange tide tuh?sijaona hip ,nmeona na in the stranger tides
Yaan fanya uiangalie asee....ni nzuri ( unaweza kumpa mtu moyo wako akutunzie? )tuingoje
Mimi sijaona pia ile ya deadmans chest
nmeona hip curseHivi unajua kuwa ikitaka kuielewa vizur na kuifaidi hiyo pirates of carribean sharti uanze kuangalia kuanzia ya kwanza?.... Au wewe umeangalia in strange tide tuh?
Kwahiyo umeona mbili tuh?nmeona hip curse
nikaona na stranger tides
Mortei decai, lone ranger hizi nazo ni za john depp nzurKabla ya kusoma comment na huu uzii Salute John Depp uwa namkubal huyu jamaa hasa kwny pirates of Caribbeans nyingn nying
ndiooKwahiyo umeona mbili tuh?
ndioo