ayeNamkubali sana huyu mkali
Wakuu Trailer mpya ya Dead Men Tell No Tales imetoka. Na kwa muonekano wa trailer tu, asee movie itakuwa kali balaa.




uyu jamaa ni mzaha sana hahah jack sparrow ni sheeder mtu ssie na uoga kabisa yani unaeza sema ni mzembemjinga flani 

AYejack sparow: did anyone see what i have just done??
bcoz am not gonna repeat it again..!!


imetoka?Mwezi wa 5 ka vile uko mbali ukiangalia hizo trailer zake 3 zilivyo kali!
Hahahahaa, rango alikua mtu wa fix kinoma. alipoulizwa aliwauwaje Jenkin's brothers kwa risasi moja katika sound zake akasahau mtu wa 7, alipoulizwa vipi kuhusu mtu wa 7 akajibu eti huyo wa 7 alikufa kwa infection. Mpaka leo rango is my favourite animation, na nkiboreka tu naicheki






Tarehe 29/May kama sikosei!imetoka?
Sio 26? Wamezingua sana..Tarehe 29/May kama sikosei!
Nipe mrejesho wa ule mkasa nikupe link uka download....Hivi dead men tell no tales ishatoka online kwa 720p au 1080p? Naisubiri sana but kila nkcheck nakuta HDCam